superwarkills
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 136
- 83
Mpaka sasa hivi mshaitangaza gsm vya kutosha ata ambae alikuwa aijui tiyali ameijua iyo tunaiita ni akili kubwa kwenye biashara, unafikilia kuikomoa gsm wakati huo huo unashiriki kwa 100% kuitangaza aidha kwa kutokujua au kwa kujua, maana mpaka dk hii gsm ndo kampuni inayoongoza kwa kutajwa kuliko kampuni yoyote ile apa Tanzania, mamilioni ya watanzania wameifahamu vyema kampuni hii ivyo kitendo icho tu kimewapunguzia gsm bajeti ya kuwekeza kwenye promotion na matangazo ya kibiashara, akili kubwa siku zote inatawala akili ndogoGSM Kutangaza logo yake kupitia SIMBA inahisi itakuwa na tija zaidi kuliko yanga,kwa kuwa ni timu bora na ni ya kimataifa ndiyo maana inang'ang'ania Simba kuvaa logo yake,wenye akili wanawashangaa mashabiki wa yanga wanashabikia bila kujua mdhamini wao ameona timu yao kibiashara haina tija.
sio hivyo tu.inawezekana hao watu wakaisikia hio gsm halafu wasijue bidhaa gani wanauzaKutangazwa kwa biashara haramu inaharibu biashara zaidi kuliko kuijenga, GSM kurudisha jina zuri kwa wateja itabidi ifanye matangazo kweli kweli na kwa gharama kubwa. Kumbuka wateja wa GSM ni mashabiki wa Yanga na Simba (ambao wana fan base kubwa zaidi), Ni kweli mashabiki wa Simba wameilewa zaidi brand ya GSM siku mbili hizi but unfortunately in a negative way, wanaiona GSM ni makanjanja wanaotaka kupitia mgongo wa Simba na hawana nia nzuri na klabu ya Simba.
Kama Mo sio kanjanja basi na gsm atokuwa kanjanja, na Kama ukanjanja aujaonekana kwenye bidhaa za mo ambae ana makandokando kibao basi ata bidhaa za gsm azitoathirika kwa lolote zaidi ya kuongeza wateja wapya waliokuwa awajui gsm ni kitu gani, wakikataa kununua wa simba wa yanga watanunua na je ni wote awatonunua eti kwasababu za kijinga Kama izo, ni ngumu sanaKutangazwa kwa biashara haramu inaharibu biashara zaidi kuliko kuijenga, GSM kurudisha jina zuri kwa wateja itabidi ifanye matangazo kweli kweli na kwa gharama kubwa. Kumbuka wateja wa GSM ni mashabiki wa Yanga na Simba (ambao wana fan base kubwa zaidi), Ni kweli mashabiki wa Simba wameilewa zaidi brand ya GSM siku mbili hizi but unfortunately in a negative way, wanaiona GSM ni makanjanja wanaotaka kupitia mgongo wa Simba na hawana nia nzuri na klabu ya Simba.
kwa akili yako unadhani mwanasimba akitaka kununua Godoro bora hawezi kununua la GSM kwa sababu ulizotaja? Ndio uleule uongo kuwa shabiki wa Simba ukienda kwake huwezi kukuta kitu Cha kijani au njano, na Yanga huwezi kukuta kitu chekundu. Hizo ni uongo tuliambizana miaka 15 iliyopita. Sasa hivi soko linaendana na kufamamika. Huwezi ukafananisha Hisence na Tcl kwa tv kama PMC, itel, star X n. K. Kwa sababu hao wa kwanza wanafahamika.Kutangazwa kwa biashara haramu inaharibu biashara zaidi kuliko kuijenga, GSM kurudisha jina zuri kwa wateja itabidi ifanye matangazo kweli kweli na kwa gharama kubwa. Kumbuka wateja wa GSM ni mashabiki wa Yanga na Simba (ambao wana fan base kubwa zaidi), Ni kweli mashabiki wa Simba wameilewa zaidi brand ya GSM siku mbili hizi but unfortunately in a negative way, wanaiona GSM ni makanjanja wanaotaka kupitia mgongo wa Simba na hawana nia nzuri na klabu ya Simba.
Huna akiliMpaka sasa hivi mshaitangaza gsm vya kutosha ata ambae alikuwa aijui tiyali ameijua iyo tunaiita ni akili kubwa kwenye biashara, unafikilia kuikomoa gsm wakati huo huo unashiriki kwa 100% kuitangaza aidha kwa kutokujua au kwa kujua, maana mpaka dk hii gsm ndo kampuni inayoongoza kwa kutajwa kuliko kampuni yoyote ile apa Tanzania, mamilioni ya watanzania wameifahamu vyema kampuni hii ivyo kitendo icho tu kimewapunguzia gsm bajeti ya kuwekeza kwenye promotion na matangazo ya kibiashara, akili kubwa siku zote inatawala akili ndogo
Mo ana makando kando kibao ila hamjawahi taja hata moja.Kama Mo sio kanjanja basi na gsm atokuwa kanjanja, na Kama ukanjanja aujaonekana kwenye bidhaa za mo ambae ana makandokando kibao basi ata bidhaa za gsm azitoathirika kwa lolote zaidi ya kuongeza wateja wapya waliokuwa awajui gsm ni kitu gani, wakikataa kununua wa simba wa yanga watanunua na je ni wote awatonunua eti kwasababu za kijinga Kama izo, ni ngumu sana
nembo ya gsm si itakuwa kwa ajili ya ligi ya tff, sasa kimataifa inakujaje!GSM Kutangaza logo yake kupitia SIMBA inahisi itakuwa na tija zaidi kuliko yanga,kwa kuwa ni timu bora na ni ya kimataifa ndiyo maana inang'ang'ania Simba kuvaa logo yake,wenye akili wanawashangaa mashabiki wa yanga wanashabikia bila kujua mdhamini wao ameona timu yao kibiashara haina tija.
Hameni basi munasubili ninikaona anapoteza muda tu utopoloni, simba inahamia Rwanda aifate hukohuko kudhamini ligi
Wanapenda miseleleko watu wapambana Africa wao wanawaza ligi kuusio hivyo tu.inawezekana hao watu wakaisikia hio gsm halafu wasijue bidhaa gani wanauza
Sawa kabwiliGSM Kutangaza logo yake kupitia SIMBA inahisi itakuwa na tija zaidi kuliko yanga,kwa kuwa ni timu bora na ni ya kimataifa ndiyo maana inang'ang'ania Simba kuvaa logo yake,wenye akili wanawashangaa mashabiki wa yanga wanashabikia bila kujua mdhamini wao ameona timu yao kibiashara haina tija.
Kwa hiyo wateja unaowaza ni wa Simba tu sio wa Kenya wala Ugandakwa akili yako unadhani mwanasimba akitaka kununua Godoro bora hawezi kununua la GSM kwa sababu ulizotaja? Ndio uleule uongo kuwa shabiki wa Simba ukienda kwake huwezi kukuta kitu Cha kijani au njano, na Yanga huwezi kukuta kitu chekundu. Hizo ni uongo tuliambizana miaka 15 iliyopita. Sasa hivi soko linaendana na kufamamika. Huwezi ukafananisha Hisence na Tcl kwa tv kama PMC, itel, star X n. K. Kwa sababu hao wa kwanza wanafahamika.
Utopola wamepigwa na mnala[emoji1787][emoji1787][emoji706][emoji706]
Simba mwaka huu tunaloView attachment 2040578