superwarkills
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 136
- 83
GSM Kutangaza logo yake kupitia SIMBA inahisi itakuwa na tija zaidi kuliko yanga,kwa kuwa ni timu bora na ni ya kimataifa ndiyo maana inang'ang'ania Simba kuvaa logo yake.
Wenye akili wanawashangaa mashabiki wa yanga wanashabikia bila kujua mdhamini wao labda machale ameona timu yao inaweza kuwa kibiashara haina tija.
Wenye akili wanawashangaa mashabiki wa yanga wanashabikia bila kujua mdhamini wao labda machale ameona timu yao inaweza kuwa kibiashara haina tija.