GSM Tuleteeni Nuggas

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ni wakati sasa uongozi mturudishie msemaji wetu hakuna namna

Pole sana Haji lakini adhabu ni kubwa mno faini ni kubwa mno, siijui imewekwa kwa kukomoa au la
Historia inaweka wazi kuwa walifungiwa pia.

Mwakalebela
Bumbuli
Jerry Muro

Mbona Yanga tu ndio tunaofungiwa?
 
Kumbuka Haji siyo kosa lake la kwanza, alishaadhibiwa akiwa Simba akalipa faini milioni tano. Huyu amekubuhu kwa kutukana watu na kuituhumu TFF.
 
Nuggaz kwa jinsi alivyorogwa na aliyebakia hapo Yanga SC akikubali kurejea naenda Kuharisha Makusudi pale Getini Lugalo Barracks mbele ya MP Wakomavu.
 
Antonio Nuggaz popote ulipo jiandae siku ya Mwananchi Jumamosi ya tarehe 6 wewe ndiyo MC wetu wananchi
 
Manara ataendelea na
majukumu yake kama kawaida.
Atayafanyia akiwa Zanzibar, huko Msomali Karia mamlaka yake hayafiki.
Utofauti ni kuwa Press conference alikuwa akizifanyia JANGWANI penye makao makuu ya Yanga, sasa hivi atafanyia KIJANGWANI penye tawi la Yanga.
 
Tatizo ni kwamba haji alikuwa ni msemaji wa gsm sio yanga..na kwa sasa gsm ndo wana maamuzi ya ki sekretarieti kwa yanga so sahau kuhusu nugaz
 
Kwani hakuna msemaji Yanga Nugaz arudishwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…