GSM Tuleteeni Nuggas

GSM Tuleteeni Nuggas

Ni wakati sasa uongozi mturudishie msemaji wetu hakuna namna

Pole sana Haji lakini adhabu ni kubwa mno faini ni kubwa mno...sijui imewekwa kwa kukomoa au la
Historia inaweka wazi kuwa walifungiwa pia

Mwakalebela
Bumbuli
Jerry Mulo

Mbona Yanga tu ndio tunaofungiwa?
Hamna nidhamu na wala hamtaki kuwa sehemu ya nidhamu.Halali yenu.
 
Manara ataendelea na
majukumu yake kama kawaida.
Atayafanyia akiwa Zanzibar, huko Msomali Karia mamlaka yake hayafiki.
Utofauti ni kuwa Press conference alikuwa akizifanyia JANGWANI penye makao makuu ya Yanga, sasa hivi atafanyia KIJANGWANI penye tawi la Yanga.
Hukumu imekazia kuwa ni ndani na nje ya Tanzania
 
Manara ataendelea na
majukumu yake kama kawaida.
Atayafanyia akiwa Zanzibar, huko Msomali Karia mamlaka yake hayafiki.
Utofauti ni kuwa Press conference alikuwa akizifanyia JANGWANI penye makao makuu ya Yanga, sasa hivi atafanyia KIJANGWANI penye tawi la Yanga.
Kwani hujaisoma hukumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom