GSM tutaendelea kuwepo na tutadhamini teams nyingi zaidi ili ligi iwe nzuri: Hawa wazee wa wapi hawa?

GSM tutaendelea kuwepo na tutadhamini teams nyingi zaidi ili ligi iwe nzuri: Hawa wazee wa wapi hawa?

Kama ana FEDHA Ajenge shule ,hospitali na kusomesha wasio na uwezo. Vipaumbele vya Tanzania sio mipira Wala nyumba za ibada
Hiyo ni kazi ya serikali.
Mmenogewa saivi mnatamani adhamini hadi serikali 👁️👁️
 
GSM na Azam wamebusti sana hii ligi yetu
GSM anaua ushindani,AZAM ni tofauti sana na huyo gsm.Azam ndio wanaifanya ligi yetu iwe bora.

Tatizo bodi ya ligi ni watu wasiojielewa na bora waondoke tupate watu madhubuti
 
Back
Top Bottom