GSM tutaendelea kuwepo na tutadhamini teams nyingi zaidi ili ligi iwe nzuri: Hawa wazee wa wapi hawa?

Kama ana FEDHA Ajenge shule ,hospitali na kusomesha wasio na uwezo. Vipaumbele vya Tanzania sio mipira Wala nyumba za ibada
Mpira ni ajira ya uhakika,angalia china anavyovuna medal kimataifa,hizo hospital ni kazi ya Lumumba
 
GSM afadhili na simba kama ni rahisi kufadhili vilabu vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…