GSM ‘wachomoa betri’ Yanga

Mbona nyie hamjabadilika hahahaha kilichobadilika ni Nini hapo?! Mfumo?! No way ...hapo ni ujanja ujanja tu...kamati bado zipo wenyewe wanaita kamati za ufundi...makomandoo bado wapo...kamati za fitina za kuhonga marefa na wachezaji wa timu pinzani bado zipo...kulinda vyumba vya wachezaji bado kunafanywa...upigaji bado na madalali bado tu...kiwango cha soka kwa timu hakijabadilika.,,Simba kwa kiwango Haina tofauti na yanga, jkt, lipuli na namungo...pengine kilichobadilika ni kelele za oya oya na kwamba 'tumebadilika" wakati bado. .Mechi ijago hata ichezwe mwezi ujao au mwakani Simba itafungwa Tena na Yanga.....mark my words...hapo Simba oya oya watapungua kelele ...hata Mechi ya tatu Simba itafungwa Tena na Yanga ..
 
sasa hao waliosajiriwa watakuja kulipwa na nani?? hapo ndio uone utopolo wanavyotapa tapa
 
Tuambie Sasa wewe unayejua Kwenye account ya Simba kuna sh ngapi.
Simba na Yanga vitu viwili tofauti ulishawahi sikia hata bajeti ya Yanga hata siku moja. Lakini bajeti ya Simba mwaka wa pili mfululizo wamesoma bajeti.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilikuwa nakuheshimu, ila umejishusha hadhi, kwa kuwa ni mshirikina, kumbe unaamini mambo kama hayo...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilikuwa nakuheshimu, ila umejishusha hadhi, kwa kuwa ni mshirikina, kumbe unaamini mambo kama hayo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu...nadhani uelewa wako was issues hizi ni mdogo Sana...yaani Mimi kua dika kuwa mambo nje ya uwanja umeelewa kuwa ni ushirikina tu?!? Mambo nje ya uwanja ni pamoja na fedha za kuhonga marefa na wachezaji was timu pinzani...hivi hujui kuwa Simba imekuwa ikihonga marefa n baadhi ya wachezaji was timu pinzani?! halafu pia huamini kuwa Simba inatenga fedha za ulozi?! Mimi kuandika kuwa Kuna ulozi mpirani haimananishi kuwa Mimi ninaamini upuuzi huu wa ushirikina...ila nyie Simba bado hamjabadilika bado mnaendekeza ushirikina...na ndiyo maa na wengi wa mashabiki wa mikia bado wanaamini kuwa yanga iliifunga Simba 1-0 kutokana na uchawi..
 
Kwenye akaunti ya Simba Hanna kitu...ila kwenye akaunti ya Mo Kuna kitu..umeelewa Sasa?!
 
GSM nao wanakosea, wachezaji waliowasajili wanawalipa mishahara wao tu , wale waliosajiliwa na uongozi hawawalipi wanalipwa na uongozi, sasa mara nyingi mishahara ya wachezaji wanaolipwa na uongozi inachelewa kutokana na ukata, huku wale wanaolipwa na GSM wanapata kwa wakati, kunaleta mgawanyiko na manuguniko kwenye timu
 
Wewe bwana Mimi ndio nakushangaa,ushaambiwa na Rage hawa ni mbumbummbu lakini bado unatumia nguvu nyingi kuwaelekeza, watakuelewa!?
 
Hayo ni ya kuongea na yakaisha na si kuwataka gsm waache kutoa msaada wanaotoa
 
Wewe bwana Mimi ndio nakushangaa,ushaambiwa na Rage hawa ni mbumbummbu lakini bado unatumia nguvu nyingi kuwaelekeza, watakuelewa!?
Hawa inabidi tu kuendelea kuwaambia ukweli bila kuchoka...tukinyamaza wanadhani wako sahihi na sisi eti tumeshindwa...lazima tuwaambie kuwa timu Yao inapata matokeo kwa kuhonga marefa na baadhi ya wachezaji wa timu pinzani...tuwaambie kuwa walihonga ushindi wa 3-0 dhidi ya mtibwa ili kuwatuliza mashabiki kufuatia kufungwa kwao 1-0 na jkt...tuwaambie kuwa walihonga kwenye ushindi wao wa 8-0 dhidi ya singida United kuwatuliza mashabiki kufuatia kipigo Cha 1-0 kutoka Yanga...tuwaambie kuwa kuifunga Yanga inabidi wahonge wachezaji na kwamba aliyosema kabwili siyo uongo...tuwaambie kuwa wanatumia fedha nyingi nje ya uwanja kupata matokeo...tuwaambie kuwa uongozi wao kwenye ligi ni fake...tusichoke kuwaambia ukweli Hawa mikia..Mimi sitachoka...wakileta za kuleta tutaleta ushahidi...tuwaambie kuwa mikia siyo matajiri Bali tajiri ni Mo...
 
Simba inaongoza ligi kwa point nyingi sana bado tu ww huoni kama hayo ni mafanikio msimu wa tatu huu simba anachkua ubingwa bado sio mafanikio?
Kuhusu upigaji hiyo ni hulka yetu sisi watanzania ipo kwa kila timu mpaka maofisini serikalini.point kuu ni timu inajiendeshaje?.mfumo wa kuendesha timu kiswahili umekwisha.msipobadilika mtapata taabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo yanga mafanikio yenu ni kuifunga simba tu?
Yani mkiifunga simba baasi mna relax
 
Ndiyo maana hii timu wazee wa zamani walijenga majengo na kiwanja pale kaunda ila wanaojifanya wasomi ujinga mtupu
 
Asee nimefuta mawazo yangu. Tuwaambie hawa mikia bila kucheza Na marefa + kubebwa na tff wanaweza wasipate matokeo hata kwa Yanga princess
 
GSM ANAACHANA NA YANGA KWASABABU YA WAJUMBE HAWA.

Wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji

1. Rodgers Gumbo
2. Richard Shija
3. Salum Rupia

Walikuja na ajenda kwenye kikao cha Kamati ya utendaji kuwa Kampuni ya GSM inafanya usajiri bila kuitaarifu Kamati ya Utendaji. Wajumbe wengi ne walibisha sana juu ya jambo hili na kusema kuwa GSM kafanya hili kwa kuitetea Yanga je kosa lipo wapi. Kamapuni ya GSM iliandikiwa barua isijihusishe na usajiri.

GSM imeandika barua tarehe 24.03.2020 kwenda Yanga na haitajihusisha tena na Mambo ambayo ni nje ya mkataba wa Jezi. Imeachana na mshahara wa Kocha na benchi lote la ufundi.

Huu ndio ukweli.. Maadui wa yanga kwasasa mbali na MAGOMA ni.. Gumbo, Rupia na Shija bila kumsahau Kamgisha. Mambo ya msemaji wetu Bumbuli kukanusha ni uongo. Na baada ya kikao cha kamati bwana Rupia aliongea na muandishi aitwae NAHEKA .. na huyu muandishi ndie alieawafungua wengi macho.

Huu ni ukweli wa asilimia mia moja. Ghalibu kaandika barua na imepokelewa yanga.tarehe 24 mchana. Bodi.ya GSM imemshauri Ghalib kushugulika na jezi tu basi.

Bwana gumbo, shija, rupia na kamgisha hatutachanga tena na tutakufa na nyie
 
'Mdomo uliponza kichwa'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…