GSM ‘wachomoa betri’ Yanga

Lete ushahidi ili uaminike, maana utakua unapiga ngoma afu unacheza mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka humu ushahidi, ili sisi humu tukuamini, Sio porojo unazofanya, naziita porojo kwa sababu maneno mengi lakini hakuna hata kaushahidi zaidi ya nadharia tu unayofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmepata kombe la ulalamishi halafu mkiambiwa washabiki wa yanga wanaongoza kwa kutokuwa na furaha mnabisha kazi kuzusha majungu
Hakuna Cha majungu hapa....wewe shabiki oya oya wa mikia endeleeni kufurahia matokeo ya kupangwa uwanjani...siku mtakapoteremka daraja ndipo mtagundua ukweli ...miaka michache iliyopita mashabiki wa Juventus ya Italia walikuwa wanafurahia matokeo uwanjani kwa kutoa vipigo kwa timu nyingine...Juventus ikawa inaongoza ligi kwa tofauti kubwa ya pointi..kumbe matokeo yalikuwa ni ya kupangwa kwa rushwa...watu wakawa wanakusanya ushahidi kimya kimya...hatimaye bomu likalipuliws...ushahidi ukawekwa mezani ukiwemo wa wachezaji wa timu pinzani kukiri kuhongwa...Juventus ikashushwa daraja...imepanda Tena karibu mitano hivi iliyopita Kama kumbukumbu zangu ni sahihi...
 
Hapo tu unaonesha kua unaandika vitu bila kua na uhakika navyo, hata story ya Juve huijui, ukiambiwa hata mwaka juve imeshushwa daraja ujui,
Tuje Kwenye point lete ushahidi wa hizo tuhuma unazopeleka kwa Simba ili ueleweke Sio kutoa porojo tu.
Ukileta ushahidi utaonekana wa maana na maneno yako yatakua na uzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juve ilishushwa lini? Na kwa sababu ipi...tuambie wewe unayefahamu...
 
Wenzenu juve walikuwa wanafanya kama hivi mnavyofanya na ishu yao ilikuja kubumbuluka miaka miwili mbeleni. Kwa hyo mnaweza ona mko salama na hiyo Michezo yenu ila kuna siku mtakutana na rungu
 
PAMBAFIUUU MLIOTUMA.MSG ZA KISHENZI INBOX MMELEWA SASAA EEH
 
Sio mara ya kwanza kwa GSM kususa, natabiri TFF watambembeleza GSM na atrudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…