Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hakuna kitu kinaumiza mtu anakuja kwenu anamchukua dada yako kumkamua...mbaya zaidi wewe unalipia gharama za guest house au lodge ambayo anaenda kumgegedea dada yako.
Hii ni dharau na inaumiza mara mbili.yaani anamkunja kunja dadayo na unagharamia mikunjo anayoenda kufanya huko? Halafu jamaa haishi kukuponda kuwa wewe ni fala, utopolo, chura n.k
Manara kweli ndo wa kuamua kutuoa sisi? Yaani maana yake Manara Haji anawagegeda Yanga... Mbaya zaidi naambiwa honey moon yake kalipiwa na GSM. hii inachoma mpaka moyoni.