GSM wamejua kuniumiza Roho mwaka Huu. Nimeumia sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hakuna kitu kinaumiza mtu anakuja kwenu anamchukua dada yako kumkamua...mbaya zaidi wewe unalipia gharama za guest house au lodge ambayo anaenda kumgegedea dada yako.

Hii ni dharau na inaumiza mara mbili.yaani anamkunja kunja dadayo na unagharamia mikunjo anayoenda kufanya huko? Halafu jamaa haishi kukuponda kuwa wewe ni fala, utopolo, chura n.k

Manara kweli ndo wa kuamua kutuoa sisi? Yaani maana yake Manara Haji anawagegeda Yanga... Mbaya zaidi naambiwa honey moon yake kalipiwa na GSM. hii inachoma mpaka moyoni.

IMG-20201215-WA0007.jpg
 
View attachment 1650574
We kweli Chizi Maarifa, jaribu kuheshimu ndoa japo kidogo basi ile ni ndoa takatifu, siyo ngono!!

Ndoa zina mambo mengi si swala la kugegedana tu, wanakwenda kuanzisha familia! Wape heshima yao achana na mambo ya utimu!!
 
GSM wanachotaka ni kuwarusha roho Wanasimba, na huenda Manara akamfuata SENZO siku si nyingi. Anajaribu kufanya Vissa ili Simba wamfukuze lkn SIMBA nao wamemfungia Viooooo.
Kama amenogewa na GSM si atangaze yeye kuiacha Simba but not otherwise.. NJIA YA MWONGO NI FUPI
 
Mimi nilifikiri umeumizwa na yale Madera kumbe wapi bhana. Kwahiyo Madera hujayaona ila umeona honeymoon ya Haji tu?
 
mk
Hakuna kitu kinaumiza mtu anakuja kwenu anamchukua dada yako kumkamua...mbaya zaidi wewe unalipia gharama za guest house au lodge ambayo anaenda kumgegedea dada yako.

Hii ni dharau na inaumiza mara mbili.yaani anamkunja kunja dadayo na unagharamia mikunjo anayoenda kufanya huko? Halafu jamaa haishi kukuponda kuwa wewe ni fala, utopolo, chura n.k

Manara kweli ndo wa kuamua kutuoa sisi? Yaani maana yake Manara Haji anawagegeda Yanga... Mbaya zaidi naambiwa honey moon yake kalipiwa na GSM. hii inachoma mpaka moyoni.

View attachment 1650574mkuu ulitaka manara akugegede wewe?? acha dada aliwe
 
Nilishawaambia hapa manara Ni "Afisa kipenyo wa Yanga"

Hamtaki kusikia

Ana vinasaba vyote vya u-yanga toka kwa babaye[emoji1](Sunday Manara 'computer")

Time will tell
 
Hakuna kitu kinaumiza mtu anakuja kwenu anamchukua dada yako kumkamua...mbaya zaidi wewe unalipia gharama za guest house au lodge ambayo anaenda kumgegedea dada yako.

Hii ni dharau na inaumiza mara mbili.yaani anamkunja kunja dadayo na unagharamia mikunjo anayoenda kufanya huko? Halafu jamaa haishi kukuponda kuwa wewe ni fala, utopolo, chura n.k

Manara kweli ndo wa kuamua kutuoa sisi? Yaani maana yake Manara Haji anawagegeda Yanga... Mbaya zaidi naambiwa honey moon yake kalipiwa na GSM. hii inachoma mpaka moyoni.

View attachment 1650574
So what?
 
Kweli we fala, cha kushangaza wenye Yanga yao wametulia kimya wanafanya mambo yao.. Sasa ww hiki kinachokukuta ni nn..?
 
Hakuna kitu kinaumiza mtu anakuja kwenu anamchukua dada yako kumkamua...mbaya zaidi wewe unalipia gharama za guest house au lodge ambayo anaenda kumgegedea dada yako.

Hii ni dharau na inaumiza mara mbili.yaani anamkunja kunja dadayo na unagharamia mikunjo anayoenda kufanya huko? Halafu jamaa haishi kukuponda kuwa wewe ni fala, utopolo, chura n.k

Manara kweli ndo wa kuamua kutuoa sisi? Yaani maana yake Manara Haji anawagegeda Yanga... Mbaya zaidi naambiwa honey moon yake kalipiwa na GSM. hii inachoma mpaka moyoni.

View attachment 1650574
Wewe ni Mpumbavu acha kuingiza Siasa unazi kwenye mambo ya kifamilia. Baba yake Manara ni Yanga lakini haoni tatizo mwanae kuwa Simba. GSM alitoa pesa zake sio zako, acha kutupigia kelele!
 
Hakuna kitu kinaumiza mtu anakuja kwenu anamchukua dada yako kumkamua...mbaya zaidi wewe unalipia gharama za guest house au lodge ambayo anaenda kumgegedea dada yako.

Hii ni dharau na inaumiza mara mbili.yaani anamkunja kunja dadayo na unagharamia mikunjo anayoenda kufanya huko? Halafu jamaa haishi kukuponda kuwa wewe ni fala, utopolo, chura n.k

Manara kweli ndo wa kuamua kutuoa sisi? Yaani maana yake Manara Haji anawagegeda Yanga... Mbaya zaidi naambiwa honey moon yake kalipiwa na GSM. hii inachoma mpaka moyoni.

View attachment 1650574
ID yako tu inaonyesha tu umeshahitimu chuo Cha mafunzo, nafikiri unakijua maana uwezo wako wa kupambanua Mambo muhimu katika weledi wa kawaida inaonekana una uchizi maarifa Kama ulivyo. Heshim ndoa za watu na pia ubakishe akiba ya maneno.
 
Back
Top Bottom