GSM wanapigana kuinusuru Yanga lakini level za Manji bado hawajafika. Pole yao

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Kiukweli mdhamini mpya wa club ya Yanga anajitahidi sana kutimiza majukumu yake lakini kuna sehemu bado hajafika na sidhani kama atafika.

Yanga ilipata mafanikio chini ya Manji sababu ya ununuzi wa mechi na siyo juhudi zao uwanjani, ndiyo maana game za ndani walikuwa ni kupiga tu ila akitoka nje anapigwa na hafiki popote.

Tunachoshukuru kwa sasa Yanga wanacheza kwa uwezo wao wote wa uwanjani na matokeo yanaotokea siyo kocha mbovu au kikosi kibovu ila hapo ndiyo mwisho wao.

Asante sana hakuna marefu yasiyo na ncha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ombi langu tu kocha aendelee kumwamini foward wetu Yikpe nafkiri mambo yatakuwa mazuri ,na huyu Morrison anapaswa kusubir kwenye mbao ndefu.
 
Uneducated ...GSM ana muda gani Yanga?Msimu ujao Coach Luc atasajili majembe yake..Tatizo la Yanga wachezaji wengi hawana viwango vikubwa..nusu ya timu itaachwa..Kwa hiyo Mo ananunua marefa ni za kweli
 
Simba bila kupuliza dawa kwenye vyumba vya kubadilishia,hawezi kushinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manji alikuwa muhuni yule.Angeua soka la bongo kabisa.

Afadhali huyu sasa anaonekana ana lenga kuinua kiwango cha mpira,sema anahitaji muda na support.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mpenzi wa Simba ila sipendi mpira uingiliwe na ujinga ujinga wa kibongo,mnasajili wachezaji wacheze,halafu wanashindwa kujua wajibu wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipokuwa ananunua we ulikuwa mhasibu
Uneducated ...GSM ana muda gani Yanga?Msimu ujao Coach Luc atasajili majembe yake..Tatizo la Yanga wachezaji wengi hawana viwango vikubwa..nusu ya timu itaachwa..Kwa hiyo Mo ananunua marefa ni za kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na malinzi umemsahau...
 
Yanga hii ya Sasa inacheza mpira wa kiwango kizuri Sana kupita enzi za Manji. Tatizo lao ni Moja tu wanalinganisha matokeo yao na matokeo ya Simba. Simba ikishinda nao wanataka washinde, hilo ndilo tatizo lao.
Mkwasa alitakiwa awe kocha mkuu wa Yanga. Anauwezo mkubwa wa kuhamasisha wachezaji kucheza katika kiwango cha Juu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…