Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Kiukweli mdhamini mpya wa club ya Yanga anajitahidi sana kutimiza majukumu yake lakini kuna sehemu bado hajafika na sidhani kama atafika.
Yanga ilipata mafanikio chini ya Manji sababu ya ununuzi wa mechi na siyo juhudi zao uwanjani, ndiyo maana game za ndani walikuwa ni kupiga tu ila akitoka nje anapigwa na hafiki popote.
Tunachoshukuru kwa sasa Yanga wanacheza kwa uwezo wao wote wa uwanjani na matokeo yanaotokea siyo kocha mbovu au kikosi kibovu ila hapo ndiyo mwisho wao.
Asante sana hakuna marefu yasiyo na ncha.
Sent using Jamii Forums mobile app