huyu muamuzi ndie aliefanya mashabiki wa simba wakang'oa viti. pumbavu sanaKampuni ya GSM inayodhamini Yanga imeahidi mil 200 kwa wachezaji wa Yanga iwapo watafanikiwa kuifunga Simba hapo tar 8.
Mwamuzi wa mechi hiyo ni Martin Sanya aliyewahi kuruhusu goli la Tambwe la mkono dhidi ya Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu muamuzi ndie aliefanya mashabiki wa simba wakang'oa viti. pumbavu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kama ni hivi, kipigo kwa Vyura fc hakiepukiki, hapo wachezaji watacheza kwa pressure kubwa wakiwaza mihela ndipo kiama cha 5-0 kitakapowakuta sasa.
Keshapewa tena mlungula mkuu.huyu muamuzi ndie aliefanya mashabiki wa simba wakang'oa viti. pumbavu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa, na vile mishahara yenyewe wanalipwa kwa mawazo hadi wagome kucheza ndo walipwe, basi hapo wasubiri kichapo tu.
this time akileta ujinga tunamg'oa yeye sio viti we subiri tuKeshapewa tena mlungula mkuu.
ShadeeyaKampuni ya GSM inayodhamini Yanga imeahidi mil 200 kwa wachezaji wa Yanga iwapo watafanikiwa kuifunga Simba hapo tar 8.
Mwamuzi wa mechi hiyo ni Martin Sanya aliyewahi kuruhusu goli la Tambwe la mkono dhidi ya Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kwenye ile mechi referee alikuwa JonesiaKampuni ya GSM inayodhamini Yanga imeahidi mil 200 kwa wachezaji wa Yanga iwapo watafanikiwa kuifunga Simba hapo tar 8.
Mwamuzi wa mechi hiyo ni Martin Sanya aliyewahi kuruhusu goli la Tambwe la mkono dhidi ya Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....itabidi serikali inunue viti vingine uwanjani...Kuna dalili mbaya kabisa...kadri mikia wanavyojiaminisha na ushindi hewa ndivyo hatari ya kung'olewa viti inavyoongezeka...Basi kama ni hivi, kipigo kwa Vyura fc hakiepukiki, hapo wachezaji watacheza kwa pressure kubwa wakiwaza mihela ndipo kiama cha 5-0 kitakapowakuta sasa.