GSM yaahidi mil 200,iwapo Yanga watafunga Simba

GSM yaahidi mil 200,iwapo Yanga watafunga Simba

Hata waahidi billioni tutawatandika tu wameshatuzoea kupita kiasi.

Nasema lazima tuwatandike tena tukiwa tumewashikilia kama watoto wadogo.

cc
Kampuni ya GSM inayodhamini Yanga imeahidi mil 200 kwa wachezaji wa Yanga iwapo watafanikiwa kuifunga Simba hapo tar 8.

Mwamuzi wa mechi hiyo ni Martin Sanya aliyewahi kuruhusu goli la Tambwe la mkono dhidi ya Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shadeeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuifunga simba wanaweza wakaifunga lakini kushinda mechi dhidi ya Simba ni ngumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Hawa MITULINGA FC kufungwa na Simba ni sawa na mauti na Binadamu hayaepukiki.hata kama wakiahidiwa Bilioni 3.
 
Basi kama ni hivi, kipigo kwa Vyura fc hakiepukiki, hapo wachezaji watacheza kwa pressure kubwa wakiwaza mihela ndipo kiama cha 5-0 kitakapowakuta sasa.
Dah....itabidi serikali inunue viti vingine uwanjani...Kuna dalili mbaya kabisa...kadri mikia wanavyojiaminisha na ushindi hewa ndivyo hatari ya kung'olewa viti inavyoongezeka...
 
Back
Top Bottom