GSM yaahidi mil 200,iwapo Yanga watafunga Simba

Kuifunga simba wanaweza wakaifunga lakini kushinda mechi dhidi ya Simba ni ngumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Hawa MITULINGA FC kufungwa na Simba ni sawa na mauti na Binadamu hayaepukiki.hata kama wakiahidiwa Bilioni 3.
Dahhh aisee kwa iyo Ngamia kapenya kwenye tundu LA sindano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mchezaji wa Yanga niliyekukopesha mil 2 wakati wa kunirudishia umefika rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…