msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,895
- 2,410
Dahhh aisee kwa iyo Ngamia kapenya kwenye tundu LA sindanoKuifunga simba wanaweza wakaifunga lakini kushinda mechi dhidi ya Simba ni ngumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Hawa MITULINGA FC kufungwa na Simba ni sawa na mauti na Binadamu hayaepukiki.hata kama wakiahidiwa Bilioni 3.
Sent using Jamii Forums mobile app