GTA V FINAL MISSION: Zijue mission za mwisho kwenye gta V

OGTV

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Posts
353
Reaction score
167
Mission za mwisho kwenye gta v zinatokana na maamuzi yako utakayoamua kufanya kwa watu utaoamua kuwaua.

Ukichagua kumuua Trevor Philips, mission inaitwa something sensible


Ukichagua kumuua Michael , mission inaitwa Times Come


Ukichagua kuwaua wale watu unaohisi watawau mission inaitwa Third Way

Part One

Part Two
 
Nataman Sana kuchezea GTA V lakin sijafanikiwa. Nilidownload moja ikawa inanidai kulogin social club, nyingine highly compressed ikawa inafeli kuinstall. [emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my 220233L2G using JamiiForums mobile app
 
Nina PC apa Ina core i5 ni HP ProBook 6560b precessor 2.5 he inaweza kucheza GTA 5
 

Attachments

  • 16841424852095866210004658849579.jpg
    225.9 KB · Views: 6
Nani ana setup ya GTA V niko Dom nahitaji, au kama kuna namna nyingine ya kupata
 
Kwahio inatakiwa ngapi?
nilicheza kwa medimu res. settings kwa pc ya:

1. 8GB RAM
2. Nvidia Video Card(discrete) ya 1GB RAM
3. CPU 3rd gen i5-3437

pc iwe na SSD badala ya HDD itapendeza zaidi

specs zikiwa kubwa ndiyo hasa una enjoy, zikiwa ndogo, utacheza ila tegemea lagging na stuttering
 
Mbona specs zakoni ndogo kuliko zangu. Ram 4 processor 2.5ghz core i5 3rd gen ya 2520m graphics natumia Intel 3000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…