Guadiola unachana mikeka ya watu etihadi, liver 0- man city 4

Guardiola kachanwa yeye
 
Kaka tupe update ya mechi jana. Mbona umekimbia
 
Aibuuuuuuu..

Liverpool ni timu kubwa sana kwenye michuano ya Ulaya. Na kubwa zaidi kuliko Manchester ambayo ndio kubwa England.
Unapochambua Soka la Ulaya. Zingatia haya.
Timu ya man citi inaweza kua kwenge fomu, ikawa na wachezaji bora sana lakini kwasababy Jina la club ni dogo. Bado inakua na nafasi finyu.

PSG walijaribu wakajaza ma striker lakini hawajatoboa.

Chelsea kufika pale na kuhesabika kama klabu kubwa ulaya, ililipia gharama kubwa sana. Sio jambo la overnite. Kama unavyotaka kudhani.

All in all, ligi ya mabingwa ulaya hua ni vigumu kubadhiri mshindi.
 
Hawa Ndiyo Wale Wachambuzi Wanaosema Watatembea Uchi...

Katumia Misamiati Ya Google Akiamini Kuwa Kimalkia Ndiyo Kujua Mpira.

Uliahidi Tukutane Baada Ya Dakika 90 Sasa Zimeshamilizika Njoo Hapa Utupe Mrejesho Huna Haja Ya Kujipoga Ban Katika Uzi Wako Mwenyewe Kijana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…