Guadiola unachana mikeka ya watu etihadi, liver 0- man city 4

Huyu engineer Leo atashangaza wengi, Liverpool anaenda kufa pale etihad kwa mabao 4

sababu kubwa za kuwafanya watu wachane mikeka yao na kumfurahisha muindi,

1.Liverpool wamerelax wakijua kwamba mchezo uliisha siku ile, kumbe hawa man city wanakuja na mbinu inaitwa LACKADAISICAL DIFFENSIVE FORCE WITH EXTRAVAGANT ATTACKS, wakati Liverpool wao japo watakuwa na offensive mechanism kutafta goli ili angalau wawe na goli la ugenini, hapo watatengeneza nafasi kwa KDB na GJ kupata magoli ya mapema,

2. History ya man city si nzuri lakin ya pep guadiola engineer inawabeba sana man city, ni mwalimu mwenye uwezo wa kuwafanya wachezaji wengi ambao hawaelewani kimchezo kuelewana yaan anawapa kitu kinaitwa CONJUNCTIVE TASK, they play as a team, hii itawafanya man city kusonga mbele,

3. Madhaifu ya Liverpool ni sawa na mwanamke mjamzito kununua dela kariakoo unadhani anafika nalo nyumbani bila kukwambia nishikie, hivo ushindi wa awali wa Liverpool ni sawa na mwanamke alonunua dela na we uko pembeni lazima akwambie naomba unishikie, hivo madhaifu ya liver is concerned with mode of playing, they entertain DISJUNCTIVE TASK ROLE OF PLAYING, kila mchezaji anacheza kivyake vyake kwa kiwango chake siyo kitimu,
Suala lingine litawagharimu ni kucheza kwa presha,

Pep inabidi pia awe makini, tukutane baada ya mechi

View attachment 740734
Guardiola kachanwa yeye
 
Kaka tupe update ya mechi jana. Mbona umekimbia

Aibuuuuuuu..

Liverpool ni timu kubwa sana kwenye michuano ya Ulaya. Na kubwa zaidi kuliko Manchester ambayo ndio kubwa England.
Unapochambua Soka la Ulaya. Zingatia haya.
Timu ya man citi inaweza kua kwenge fomu, ikawa na wachezaji bora sana lakini kwasababy Jina la club ni dogo. Bado inakua na nafasi finyu.

PSG walijaribu wakajaza ma striker lakini hawajatoboa.

Chelsea kufika pale na kuhesabika kama klabu kubwa ulaya, ililipia gharama kubwa sana. Sio jambo la overnite. Kama unavyotaka kudhani.

All in all, ligi ya mabingwa ulaya hua ni vigumu kubadhiri mshindi.
 
Hawa Ndiyo Wale Wachambuzi Wanaosema Watatembea Uchi...

Katumia Misamiati Ya Google Akiamini Kuwa Kimalkia Ndiyo Kujua Mpira.

Uliahidi Tukutane Baada Ya Dakika 90 Sasa Zimeshamilizika Njoo Hapa Utupe Mrejesho Huna Haja Ya Kujipoga Ban Katika Uzi Wako Mwenyewe Kijana.
 
Ha ha ha haaaa,, mie jirani zangu hapa nyumbani nilikuwa nawaambia kuwazuia Mo na Robbo kugusa nyavu ni kazi nyingine ya ziada sasa unaona!! Sasa bahati mbaya sana Roma ajichanganye aangukie mikononi mwa Klopp kazi anayo, bora aombe tu hiki kikombe kimwepuke huko huko FIFA!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom