Guadiola unachana mikeka ya watu etihadi, liver 0- man city 4

Nathan Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1,437
Reaction score
1,883
Huyu engineer Leo atashangaza wengi, Liverpool anaenda kufa pale etihad kwa mabao 4

sababu kubwa za kuwafanya watu wachane mikeka yao na kumfurahisha muindi,

1.Liverpool wamerelax wakijua kwamba mchezo uliisha siku ile, kumbe hawa man city wanakuja na mbinu inaitwa LACKADAISICAL DIFFENSIVE FORCE WITH EXTRAVAGANT ATTACKS, wakati Liverpool wao japo watakuwa na offensive mechanism kutafta goli ili angalau wawe na goli la ugenini, hapo watatengeneza nafasi kwa KDB na GJ kupata magoli ya mapema,

2. History ya man city si nzuri lakin ya pep guadiola engineer inawabeba sana man city, ni mwalimu mwenye uwezo wa kuwafanya wachezaji wengi ambao hawaelewani kimchezo kuelewana yaan anawapa kitu kinaitwa CONJUNCTIVE TASK, they play as a team, hii itawafanya man city kusonga mbele,

3. Madhaifu ya Liverpool ni sawa na mwanamke mjamzito kununua dela kariakoo unadhani anafika nalo nyumbani bila kukwambia nishikie, hivo ushindi wa awali wa Liverpool ni sawa na mwanamke alonunua dela na we uko pembeni lazima akwambie naomba unishikie, hivo madhaifu ya liver is concerned with mode of playing, they entertain DISJUNCTIVE TASK ROLE OF PLAYING, kila mchezaji anacheza kivyake vyake kwa kiwango chake siyo kitimu,
Suala lingine litawagharimu ni kucheza kwa presha,

Pep inabidi pia awe makini, tukutane baada ya mechi

Napoli Pep.jpg
 
City walitakiwa kua na goli japoo mbili HT
 
Huyu gardiola akiwa akibeba epl na akiwa mjanja asepe mwenyewe kabla hajatupiwa virago msimu ujao... Mbinu zake zishajulikana!!
 
Huyu engineer Leo atashangaza wengi, Liverpool anaenda kufa pale etihad kwa mabao 4

sababu kubwa za kuwafanya watu wachane mikeka yao na kumfurahisha muindi,

1.Liverpool wamerelax wakijua kwamba mchezo uliisha siku ile, kumbe hawa man city wanakuja na mbinu inaitwa LACKADAISICAL DIFFENSIVE FORCE WITH EXTRAVAGANT ATTACKS, wakati Liverpool wao japo watakuwa na offensive mechanism kutafta goli ili angalau wawe na goli la ugenini, hapo watatengeneza nafasi kwa KDB na GJ kupata magoli ya mapema,

2. History ya man city si nzuri lakin ya pep guadiola engineer inawabeba sana man city, ni mwalimu mwenye uwezo wa kuwafanya wachezaji wengi ambao hawaelewani kimchezo kuelewana yaan anawapa kitu kinaitwa CONJUNCTIVE TASK, they play as a team, hii itawafanya man city kusonga mbele,

3. Madhaifu ya Liverpool ni sawa na mwanamke mjamzito kununua dela kariakoo unadhani anafika nalo nyumbani bila kukwambia nishikie, hivo ushindi wa awali wa Liverpool ni sawa na mwanamke alonunua dela na we uko pembeni lazima akwambie naomba unishikie, hivo madhaifu ya liver is concerned with mode of playing, they entertain DISJUNCTIVE TASK ROLE OF PLAYING, kila mchezaji anacheza kivyake vyake kwa kiwango chake siyo kitimu,
Suala lingine litawagharimu ni kucheza kwa presha,

Pep inabidi pia awe makini, tukutane baada ya mechi

View attachment 740734
Umeandika mamisamiati yako kama makorokocho flani hivi tu, kumbe hamna lolote unalojua....
Pumba kabisa!!
 
Mimi niliiona kuwa ni draw kabisa maana man city asingeweza kumpiga Liverpool...
Ha ha ha haaaa,, mie jirani zangu hapa nyumbani nilikuwa nawaambia kuwazuia Mo na Robbo kugusa nyavu ni kazi nyingine ya ziada sasa unaona!! Sasa bahati mbaya sana Roma ajichanganye aangukie mikononi mwa Klopp kazi anayo, bora aombe tu hiki kikombe kimwepuke huko huko UEFA!!
 
Mkeka umetiki nilimpa liverpool na Roma ushindi beti win
 
Back
Top Bottom