Jamani ninataka kwenda china katikati ya mwezi ujao huko Guangzhou
shughuli zangu ni kwenda kutengeneza sampo za viatu vya michezo kama pea 50 hivi (nataka nije nazo kwa ndege)
maswali yangu ni kuwa huu mwaka mpya wa kiichina unaisha lini maana nimeambiwa eti wachina wanakula bata mwezi mzima hivyo hakuna hata kiwanda kimoja kinachoweza kutengeneza sample zangu
pili, naomba msaada wenu kujua mahoteli ambayo naweza kukaa yenye bei nafuu lakini masafi na hakuna wizi maana naskia kuna wizi kichizi huko china.
Pia naskia huwezi kutumia hotmail/gmail/facebook etc hivi ni kweli?
Je mnadhani kupata sampo zangu naweza kukaa muda zaidi siku 10?
Mnashauri bajeti ya hoteli na misosi niweke kiasi gani?