Guangzhou China

Guangzhou China

MalcolmX

Senior Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
158
Reaction score
100
Jamani ninataka kwenda china katikati ya mwezi ujao huko Guangzhou

shughuli zangu ni kwenda kutengeneza sampo za viatu vya michezo kama pea 50 hivi (nataka nije nazo kwa ndege)

maswali yangu ni kuwa huu mwaka mpya wa kiichina unaisha lini maana nimeambiwa eti wachina wanakula bata mwezi mzima hivyo hakuna hata kiwanda kimoja kinachoweza kutengeneza sample zangu

pili, naomba msaada wenu kujua mahoteli ambayo naweza kukaa yenye bei nafuu lakini masafi na hakuna wizi maana naskia kuna wizi kichizi huko china.

Pia naskia huwezi kutumia hotmail/gmail/facebook etc hivi ni kweli?

Je mnadhani kupata sampo zangu naweza kukaa muda zaidi siku 10?

Mnashauri bajeti ya hoteli na misosi niweke kiasi gani?
 
Tafuta uzi upo humu ndan utakueleza kila kitu kuhsu kwenda china.
 
Chines new year huanza tarehe 18 feb kama sikosei na inachukua karibu mwezi so usijaribu kwenda kipindi icho utalia viwanda vyote hufungwa watu hurudi vijijini kwako kula skuku so dont try
 
Mkuu haichukui mwez.its btn tar 18 feb to 2___feb .then hotel utapata za bei ya kawaida.in short kama unakuja guangzhou fka xiaobei coz its th africa in china😀😀though sahz jamaa wamejtahd kudhbit number ya black people hapo.then cku 10 am not sure kama utakamilisha.ukiwa na hoja zaid just n pm.karibu uchina mkuu😉😉😉
 
sample za viatu, pair 50? kaka vitakulipa kweli pea 50 kwenda mpaka china? au kuna kitu sijaelewa?
 
Jamani ninataka kwenda china katikati ya mwezi ujao huko Guangzhou

shughuli zangu ni kwenda kutengeneza sampo za viatu vya michezo kama pea 50 hivi (nataka nije nazo kwa ndege)

maswali yangu ni kuwa huu mwaka mpya wa kiichina unaisha lini maana nimeambiwa eti wachina wanakula bata mwezi mzima hivyo hakuna hata kiwanda kimoja kinachoweza kutengeneza sample zangu

pili, naomba msaada wenu kujua mahoteli ambayo naweza kukaa yenye bei nafuu lakini masafi na hakuna wizi maana naskia kuna wizi kichizi huko china.

Pia naskia huwezi kutumia hotmail/gmail/facebook etc hivi ni kweli?

Je mnadhani kupata sampo zangu naweza kukaa muda zaidi siku 10?

Mnashauri bajeti ya hoteli na misosi niweke kiasi gani?

Yap facebook,google,instagram,youtube zko blocked.kuwa na access nazo n lazma utumie vpn.dollar to rmb kwa sasa n 6.19 though it may vary any time.na msos almost unaweza ukapata mlo kwa 30rmb mwenyewe ukafurahia.😉😉
 
Nadhani anataka sample kisha aje avitafutie soko ndo atoe order ya vingi
 
Pea 50, hivyo mbona huhitaji hata kwenda kiwandani. Utaishia dukani tu unless unataka specification maalum kwa ajili yako
 
Back
Top Bottom