Guardiola ameiumbua E.P.L

Ndani ya week 1 Pep kala 3 mzuka, hapa nasubiria Totenham amalizie mkia uliobaki.
 
Key Points:

• Guardiola Hajawahi Kuwa na Timu iliyopigwa Vipigo Vitatu mfululizo! Lakini Mara hii Kapigwa

• Guardiola Hajawahi Kuwa Na Timu iliyofungwa Nyumbani Vipigo Viwili Mfululizo! Lakini Mara hii Kapigwa.

• Guardiola Hajawahi Kuwa na Timu iliyofungwa Mara Tatu Na Timu Moja Ndani Ya Msimu mmoja! Lakini Mara hii Kafungwa.

Sasa Kama Hayo Yote Hakuwahi Kufanyiwa Ndani Ya [HASHTAG]#Laliga[/HASHTAG] (Barcelona) wala [HASHTAG]#Bundesliga[/HASHTAG] (Bayern) lakini Kaja Kufanyiwa [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG]....! Hapo Kweli Kaja Kuumbuliwa na [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] badala ya Kuiumbua.
 
ha ha kwani tangu huu mwezi uingie kafungwa goli ngapi?
 
Proved (wale waliopiga circle vizuri wanajua)
 
Vp leo unasemaje? Kashaaa beba kombe kabla ligi haijaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…