RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Hongereni kwa ushindi.Thank Pep kumpanga Otamendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongereni kwa ushindi.Thank Pep kumpanga Otamendi
Hongereni kwa ushindi.
Kwa kweli kawafunga midomo aisee..
Wakati anawasili England, Pep aliulizwa nini kigumu kwako kwa hapa Uingereza alijibu kwa kejeli kwamba ni kuendesha gari left hand tu basi vingne havimpi shida.
Asante sana
Naona leo ndio umepata nafuu au
Leo Pep katuumbua
Hatukusema hatofungwa ila tulichomaanisha ligi ameiweza which is true.
Hatukusema hatofungwa ila tulichomaanisha ligi ameiweza which is true.
Kifo cha mende
Hakuna lolote wakikutana tena city wanakula za uso kwa mara nyingineLiver ndo kawaida yao,,, wakutane tena uone kipigo watakachopata....
wakutane tena lini!?..guardiola hamuwez klopLiver ndo kawaida yao,,, wakutane tena uone kipigo watakachopata....
Guadiora ndyo hamuwezi vp kuhusu mourinho aliyetandikwa na Dortmund yeye anamuweza sio?wakutane tena lini!?..guardiola hamuwez klop
wakutane tena lini!?..guardiola hamuwez klop
baada ya kadi nyekundu ya fitna..hebu fikiria pale city kala moja halaf apate kadi nyekunduHamuwezi kivipi mkuu wakati liver ashapigwa 5 kwa 0. Umesahsu!
Hamuwezi kivipi mkuu wakati liver ashapigwa 5 kwa 0. Umesahsu!
baada ya kadi nyekundu ya fitna..hebu fikiria pale city kala moja halaf apate kadi nyekundu