Guardiola hajui tafsiri ya sheria ya offside

Hata kipa angeenda chooni kunya hii sio offside mzee baba,tafuta vilaza wa kuwaongopea..
IMG_20180411_125404_815.jpg
 
Re play ilivyorudiwa wale wachambuzi waliopo studio super sports walisema hakuna offside na karibu asilimia 90 yao ni wachezaji wa zamani na wana mafunzo ya ukocha!wewe umefika level gani kwenye football?au kawaida yetu wabongo ku google na kukariri

Utasema Haya tu Iwapo bado Umekariri na Kukomaa na Zile Sheria Za Miaka Ya 1990, Lakini Kama Utaamini Kuwa Kila Raisi Wa FIFA na UEFA anaekaa madarakani Anabadilisha Sheria Za Soka na Kuekwa Mpya Basi Unapaswa Kujitathmini Upya.

Sheria Ya Sasa tunayoitambua Sisi inasema Hivi →→ A player is in an offside position if any of their body part except the hands and arms is in the opponents' half of the pitch and closer to the opponents' goal line than both the ball and the second-last opponent (not necessarily the goalkeeper).

Sasa Kama Wewe Unasheria Yako unayoitambua isiyokuwa Hii basi Hatuna Cha Kukusaidia.
 
Hata kipa angeenda chooni kunya hii sio offside mzee baba,tafuta vilaza wa kuwaongopea..View attachment 741109

Hiyo Ni Offside Kwasababu Mchezaji Aliyebaki na Mfungaji Wa Goli Ni Mmoja tu! Sheria inasema ili isiwe Offside Ni Lazima Mchezaji Mbele Yake Kuwe Na Wapinzani Wawili, Au Mpira uwe mbele Yake Na Usiwe Nyuma Yake Kama Huyo.

Kwanza Sheria Haikumtaja Goal Keeper Kuwa ili uwe Offside. Sheria imemtaja "OPPONENT" tu. Kwahiyo Hata Beki Ukiwa Upo Nae USO KWA USO kama alivyo Huyo basi Ni Offside.

Tatizo lenu Munashindana Na Sheria Kwa Kuamini Mitazamo Yenu.
 
Wachambuzi wote ...wamedai does not clear offside ....
Refa kakosea tu....nadhan pressure ilikuwa kubwa sana

Tatizo wanaangalia mpira vibanda umiza kelele mtindo mmoja hawasikilizi maelezo ya football pundits lakini wakitoka hapo wanajifanya wajuaji

Hicho ndicho kinachonifanya nikatae kuangalia mpira bar au ibanda umiza. Napenda sana kuangalia mpira home ili nisikilize vizuri commentators wanapotoa maelezo ya kila tukio kwenye mpira. Ndio maana mpira ambao unatangazwa kwa lugha nyingine tofauti na Kiingereza huwa siangalii kabisa maana nakosa utamu wa uchambuzi kutoka kwa footbal pundits.

Only in Bongo Watu Wanapokea Maamuzi Kulingana Na Mitazamo Ya Commentators!!!

Bora Yule Anaetazama Mpira Vibanda Umiza Akakubali Maamuzi Kulingana Na Sheria Bila Ya Kujali Pundits/Commentators Wanasemaje Kuliko Yule Anaetazama Nyumbani Asijue Nini Kinaendelwea Mpaka Pundits na Commentators Waseme na Yeye Akariri!!!

Kwanza Haijawahi Kutokezea Hao Pundits na Commentators Wakakubaliana Katika Mitazamo!
Kwamfano Mechi Ya Man City vs Man Unite Kuna Waliodai Kuwa ASHLEY YOUNG ALIPASWA KUPEWA RED CARD na Aguero Kuzawadiwa Penalty Kick Kwa Kuchezewa Foul, Na Wengine Wamesema Haikuwa Red Card wala Penalty.
Sasa Watu Hawa Wanaozungumza Mambo Kwa Mapenzi ya Timu badala ya Sheria Utawafanyaje Kuwa Ndiyo References Zenu.

Hivi GARRY NEVILLE na MICHAEL OWEN wangeliweza Kukubaliana Katika hili ingawa Wote Ni Mapundits?
 
Wapi umeona wametofautina kwenye issue ya lile goli?walisema sio offside wote ila wakahisi labda refa akiona faulo kabla ya Sane kufunga
 
Hiyo Ni Offside Kwasababu Mchezaji Aliyebaki na Mfungaji Wa Goli Ni Mmoja tu! Sheria inasema ili isiwe Offside Ni Lazima Mchezaji Mbele Yake Kuwe Na Wapinzani Wawili, Au Mpira uwe mbele Yake Na Usiwe Nyuma Yake Kama Huyo.

Kwanza Sheria Haikumtaja Goal Keeper Kuwa ili uwe Offside. Sheria imemtaja "OPPONENT" tu. Kwahiyo Hata Beki Ukiwa Upo Nae USO KWA USO kama alivyo Huyo basi Ni Offside.

Tatizo lenu Munashindana Na Sheria Kwa Kuamini Mitazamo Yenu.
Tatizo sio kujua sheria,tatizo ni kuzitumia hizo sheria kulingana na matukio...vp kuhusu maoni ya hawa former referees ni kwamba hawajui sheria kama sisi tunaokupinga au they're just Man city's fanz!!!!
IMG_20180411_162319_850.jpg
IMG_20180411_162332_157.jpg
 
Utasema Haya tu Iwapo bado Umekariri na Kukomaa na Zile Sheria Za Miaka Ya 1990, Lakini Kama Utaamini Kuwa Kila Raisi Wa FIFA na UEFA anaekaa madarakani Anabadilisha Sheria Za Soka na Kuekwa Mpya Basi Unapaswa Kujitathmini Upya.

Sheria Ya Sasa tunayoitambua Sisi inasema Hivi →→ A player is in an offside position if any of their body part except the hands and arms is in the opponents' half of the pitch and closer to the opponents' goal line than both the ball and the second-last opponent (not necessarily the goalkeeper).

Sasa Kama Wewe Unasheria Yako unayoitambua isiyokuwa Hii basi Hatuna Cha Kukusaidia.
Tatizo watu hatupendi kujifunza wala kusoma, Hatujui af sababu hatujui tunaweka maneno ya dharau na dhihaka . Sheria hiyo nimewawekea nadhani hata kusoma hawajasoma ilimradi wameshamsikia mchambuzi flan kasema.
 
Tatizo sio kujua sheria,tatizo ni kuzitumia hizo sheria kulingana na matukio...vp kuhusu maoni ya hawa former referees ni kwamba hawajui sheria kama sisi tunaokupinga au they're just Man city's fanz!!!! View attachment 741328View attachment 741329

Umenisaidia Sana Kwaprove Watu Wrong Kwa Kuyaleta Maelezo Haya! Thankx

• Kwanza Kabisa Kwenye Hayo Maelezo Ya Chris Foy na Cluttenburg Wanawapinga Wengi Humu Kuhusu Position Ya Offside Aliyokuwepo Sane.
Hao Hapo Hawajapinga Kuwa Mfungaji Wa Goli Alikuwa Offside Position, Bali Mjadala Wao Upo Kwa Milner Kwama 'Je Kaugusa Mpira Au Hakuugusa'?

√ Iwapo Mpira Ulitoka Kwa Jesus Moja Kwa Moja Bila Ya Kumgusa Milner Mpaka Kwa Sane basi Ni Offside Kwasababu Sane Kabla Ya Kufunga Tayari Alikwishakuwa Offside Position ingawa Golini Yupo Defender Kwani ili isiwe Offside Ni Lazima Mchezaji Mbele Yake Kuwe na Opponents Wawili (Si Lazima mmoja Awe Kipa), Lakini akiwepo mmoja tu Kama Ni Kipa au Beki kama ilivyokuwa Jana Basi hiyo Ni Offside.

√ Na Iwapo Mpira ulipotoka Kwa Jesus Kabla ya Kumfika Sane uliguswa na Milner Basi Haikuwa Offside na lile Ni Goli.

Marefa Wa Zamani Hoja Yao Ni "JE MILNER ALIUGUSA MPIRA AU HAKUUGUSA?" na Wala Hawatetei wala Kupinga Kuwa Sane Hakuwa Offside Position! Ila Wengi Wamekubali Kuwa Milner Mpira Kaugusa na Ndiyomana Wanasema si Offside

Sasa Kwahili Huwezi Mlaumu Refa Kwa Hata Mimi Nawewe Katika Msongamano Hule Hutukuona Wala Hatuna Uhakika Kuwa Milner Kaugusa Mpira au Hukuugusa na ipo possibly Kubwa Kuwa Hakuugusa.
 
Mbona sterling alisukuma mtu pale ndio akatoa pasi iliyozaa goli?
 
Tatizo sio kujua sheria,tatizo ni kuzitumia hizo sheria kulingana na matukio...vp kuhusu maoni ya hawa former referees ni kwamba hawajui sheria kama sisi tunaokupinga au they're just Man city's fanz!!!! View attachment 741328View attachment 741329

Screenshot_20180411-193705.png

NIMERUDI TENA!

Imenibidi Niende [HASHTAG]#YouTube[/HASHTAG] Nikaliangalie lile Tukio Kwa Makini Sana Na Nikagundua Kuwa Lile Ni Goli Halali Kabisa.

1) Kwanza Kabisa Ni Kweli Ukiangalia Hapo Kwenye Picha Licha Ya Kuwa Mchezaji Wa Liverpool Yupo Mbele Yake lakini Leroy Sane (Alifunga Goli) Yupo Kwenye Offside Position Kwasababu Mchezaji Aliyepo Mbele Yake Ni Mmoja Wakati Sheria inasema ili isiwe Offside Ni Lazima Mbele Yake Kuwe na Wachezaji Wawili Yani Awepo Huyo Aliyepo pamoja Na Kipa au Na Mchezaji Yoyote Hata Kama Sio Kipa.
Hapo Utaona Kuwa Kipa na Wachezaji Wote Wa Liverpool Wapo Nyuma Ya Sane isipokuwa Huyo mmoja tu.

LAKINI NI NINI KILICHOUWA HIYO OFFSIDE?

Ukweli Ni Kwamba Huo Mpira Kabla Ya Kumfika Sane na Kufunga Kumbe Baada Ya Kipa Kuucheza Ulimbabatiza James Milner Na Kurudi Kwa Sane na Si Gabriel Jesus aliyeupiga Kama Alivyozania Refa Kwani Angeupiga Jesus tu Angelikuwa Offside.

KWAHIYO INGAWA MIMI NI MSHABIKI WA LIVERPOOL KINDAKINDAKI LAKINI NINAKUBALI KUWA LILE NI GOLI SAFI KABISA

2) Jambo Jengine Ni Kwamba Mtazame Kwa Makini Huyo Referee! Ni Kwamba Yupo Nyuma Ya JESUS na MILNER! Kwahiyo Hapo Walimziba na Hakujua Kuwa Mpira Kuwa Ulimgonga Milner, Alichokishtukia Yeye Ni Kuwa Mpira Umemgonga Jesus Jambo ambalo Hakuwa Sahihi.

Kwahiyo Hapo Refa Hapaswi Kulaumiwa Kwani Hakukusudia Kutubeba Bali Hakuona Tukio Halisi lililotokea

HATA HIVYO HUWA MARANYINGI NINA KAULI YANGU NINASEMA [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] NI GAME OF CHANCE! Nadhani Munaweza kunielewa ninachomaanisha..
 
Re play ilivyorudiwa wale wachambuzi waliopo studio super sports walisema hakuna offside na karibu asilimia 90 yao ni wachezaji wa zamani na wana mafunzo ya ukocha!wewe umefika level gani kwenye football?au kawaida yetu wabongo ku google na kukariri
Lile lilikua clear goli hakukua na offside yeyote pale
 
Only in Bongo Watu Wanapokea Maamuzi Kulingana Na Mitazamo Ya Commentators!!!

Bora Yule Anaetazama Mpira Vibanda Umiza Akakubali Maamuzi Kulingana Na Sheria Bila Ya Kujali Pundits/Commentators Wanasemaje Kuliko Yule Anaetazama Nyumbani Asijue Nini Kinaendelwea Mpaka Pundits na Commentators Waseme na Yeye Akariri!!!

Kwanza Haijawahi Kutokezea Hao Pundits na Commentators Wakakubaliana Katika Mitazamo!
Kwamfano Mechi Ya Man City vs Man Unite Kuna Waliodai Kuwa ASHLEY YOUNG ALIPASWA KUPEWA RED CARD na Aguero Kuzawadiwa Penalty Kick Kwa Kuchezewa Foul, Na Wengine Wamesema Haikuwa Red Card wala Penalty.
Sasa Watu Hawa Wanaozungumza Mambo Kwa Mapenzi ya Timu badala ya Sheria Utawafanyaje Kuwa Ndiyo References Zenu.

Hivi GARRY NEVILLE na MICHAEL OWEN wangeliweza Kukubaliana Katika hili ingawa Wote Ni Mapundits?
Unapotosha either kwa maksudi au kutokujua tu au kwa kutokuielewa lugha ya kiingereza. Halafu unavyoongea kwa confidence...😀😀😀
 
View attachment 741496

NIMERUDI TENA!

Imenibidi Niende [HASHTAG]#YouTube[/HASHTAG] Nikaliangalie lile Tukio Kwa Makini Sana Na Nikagundua Kuwa Lile Ni Goli Halali Kabisa.

1) Kwanza Kabisa Ni Kweli Ukiangalia Hapo Kwenye Picha Licha Ya Kuwa Mchezaji Wa Liverpool Yupo Mbele Yake lakini Leroy Sane (Alifunga Goli) Yupo Kwenye Offside Position Kwasababu Mchezaji Aliyepo Mbele Yake Ni Mmoja Wakati Sheria inasema ili isiwe Offside Ni Lazima Mbele Yake Kuwe na Wachezaji Wawili Yani Awepo Huyo Aliyepo pamoja Na Kipa au Na Mchezaji Yoyote Hata Kama Sio Kipa.
Hapo Utaona Kuwa Kipa na Wachezaji Wote Wa Liverpool Wapo Nyuma Ya Sane isipokuwa Huyo mmoja tu.

LAKINI NI NINI KILICHOUWA HIYO OFFSIDE?

Ukweli Ni Kwamba Huo Mpira Kabla Ya Kumfika Sane na Kufunga Kumbe Baada Ya Kipa Kuucheza Ulimbabatiza James Milner Na Kurudi Kwa Sane na Si Gabriel Jesus aliyeupiga Kama Alivyozania Refa Kwani Angeupiga Jesus tu Angelikuwa Offside.

KWAHIYO INGAWA MIMI NI MSHABIKI WA LIVERPOOL KINDAKINDAKI LAKINI NINAKUBALI KUWA LILE NI GOLI SAFI KABISA

2) Jambo Jengine Ni Kwamba Mtazame Kwa Makini Huyo Referee! Ni Kwamba Yupo Nyuma Ya JESUS na MILNER! Kwahiyo Hapo Walimziba na Hakujua Kuwa Mpira Kuwa Ulimgonga Milner, Alichokishtukia Yeye Ni Kuwa Mpira Umemgonga Jesus Jambo ambalo Hakuwa Sahihi.

Kwahiyo Hapo Refa Hapaswi Kulaumiwa Kwani Hakukusudia Kutubeba Bali Hakuona Tukio Halisi lililotokea

HATA HIVYO HUWA MARANYINGI NINA KAULI YANGU NINASEMA [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] NI GAME OF CHANCE! Nadhani Munaweza kunielewa ninachomaanisha..
Umenisaidia Sana Kwaprove Watu Wrong Kwa Kuyaleta Maelezo Haya! Thankx

• Kwanza Kabisa Kwenye Hayo Maelezo Ya Chris Foy na Cluttenburg Wanawapinga Wengi Humu Kuhusu Position Ya Offside Aliyokuwepo Sane.
Hao Hapo Hawajapinga Kuwa Mfungaji Wa Goli Alikuwa Offside Position, Bali Mjadala Wao Upo Kwa Milner Kwama 'Je Kaugusa Mpira Au Hakuugusa'?

√ Iwapo Mpira Ulitoka Kwa Jesus Moja Kwa Moja Bila Ya Kumgusa Milner Mpaka Kwa Sane basi Ni Offside Kwasababu Sane Kabla Ya Kufunga Tayari Alikwishakuwa Offside Position ingawa Golini Yupo Defender Kwani ili isiwe Offside Ni Lazima Mchezaji Mbele Yake Kuwe na Opponents Wawili (Si Lazima mmoja Awe Kipa), Lakini akiwepo mmoja tu Kama Ni Kipa au Beki kama ilivyokuwa Jana Basi hiyo Ni Offside.

√ Na Iwapo Mpira ulipotoka Kwa Jesus Kabla ya Kumfika Sane uliguswa na Milner Basi Haikuwa Offside na lile Ni Goli.

Marefa Wa Zamani Hoja Yao Ni "JE MILNER ALIUGUSA MPIRA AU HAKUUGUSA?" na Wala Hawatetei wala Kupinga Kuwa Sane Hakuwa Offside Position! Ila Wengi Wamekubali Kuwa Milner Mpira Kaugusa na Ndiyomana Wanasema si Offside

Sasa Kwahili Huwezi Mlaumu Refa Kwa Hata Mimi Nawewe Katika Msongamano Hule Hutukuona Wala Hatuna Uhakika Kuwa Milner Kaugusa Mpira au Hukuugusa na ipo possibly Kubwa Kuwa Hakuugusa.
Tatizo sio kujua sheria,tatizo ni kuzitumia hizo sheria kulingana na matukio...vp kuhusu maoni ya hawa former referees ni kwamba hawajui sheria kama sisi tunaokupinga au they're just Man city's fanz!!!! View attachment 741328View attachment 741329
Good analysis
 
Tatizo watu hatupendi kujifunza wala kusoma, Hatujui af sababu hatujui tunaweka maneno ya dharau na dhihaka . Sheria hiyo nimewawekea nadhani hata kusoma hawajasoma ilimradi wameshamsikia mchambuzi flan kasema.
Umeshindwa kukielewa kifungu ulichosoma/ulicholeta. Tafsiri unayotoa ya kisheria na lugha haupo sahihi. Isome tena na uielewe. Ile haikua offside hata kidogo.

Hata golikipa na wachezaji wenzake wote wa timu yake wangekua katikati ya uwanja na wachezaji 10 wa timu pinzani wawe mbele (half pitch ya golikipa aliyetoka) na wapasiane mara mia ili mradi mpigaji wa mpira yupo mbele yao, hakuna offside.
 
View attachment 741496

NIMERUDI TENA!

Imenibidi Niende [HASHTAG]#YouTube[/HASHTAG] Nikaliangalie lile Tukio Kwa Makini Sana Na Nikagundua Kuwa Lile Ni Goli Halali Kabisa.

1) Kwanza Kabisa Ni Kweli Ukiangalia Hapo Kwenye Picha Licha Ya Kuwa Mchezaji Wa Liverpool Yupo Mbele Yake lakini Leroy Sane (Alifunga Goli) Yupo Kwenye Offside Position Kwasababu Mchezaji Aliyepo Mbele Yake Ni Mmoja Wakati Sheria inasema ili isiwe Offside Ni Lazima Mbele Yake Kuwe na Wachezaji Wawili Yani Awepo Huyo Aliyepo pamoja Na Kipa au Na Mchezaji Yoyote Hata Kama Sio Kipa.
Hapo Utaona Kuwa Kipa na Wachezaji Wote Wa Liverpool Wapo Nyuma Ya Sane isipokuwa Huyo mmoja tu.

LAKINI NI NINI KILICHOUWA HIYO OFFSIDE?

Ukweli Ni Kwamba Huo Mpira Kabla Ya Kumfika Sane na Kufunga Kumbe Baada Ya Kipa Kuucheza Ulimbabatiza James Milner Na Kurudi Kwa Sane na Si Gabriel Jesus aliyeupiga Kama Alivyozania Refa Kwani Angeupiga Jesus tu Angelikuwa Offside.

KWAHIYO INGAWA MIMI NI MSHABIKI WA LIVERPOOL KINDAKINDAKI LAKINI NINAKUBALI KUWA LILE NI GOLI SAFI KABISA

2) Jambo Jengine Ni Kwamba Mtazame Kwa Makini Huyo Referee! Ni Kwamba Yupo Nyuma Ya JESUS na MILNER! Kwahiyo Hapo Walimziba na Hakujua Kuwa Mpira Kuwa Ulimgonga Milner, Alichokishtukia Yeye Ni Kuwa Mpira Umemgonga Jesus Jambo ambalo Hakuwa Sahihi.

Kwahiyo Hapo Refa Hapaswi Kulaumiwa Kwani Hakukusudia Kutubeba Bali Hakuona Tukio Halisi lililotokea

HATA HIVYO HUWA MARANYINGI NINA KAULI YANGU NINASEMA [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] NI GAME OF CHANCE! Nadhani Munaweza kunielewa ninachomaanisha..
Umeanza vizuri halafu ukajisahaulisha, hivi aliyekataa goli ni refa au lineman.?
 
Bora umefanya hivyo. Comments zako za kwanza zilinifanya nikuone sio mtu wa mpira.
 
Sheria za mpira zinatafsiriwa na nani?au unadhan wachambuzi wa SS ni kama akina Kumwembe hata ligi daraja la nne au hajawahi kucheza?Google ni akina nani walikua wanachambua game la jana!unadhani ligi zilizoanzisha uamuzi wa video ni wajinga?refarii ni Binadamu alichemka mtu anayeona replay anayejua sheria za mpira anaona kwa ufasaha hata yule refa akiona replay atajishangaa unless kama haujawahi kuona contrevisial decision kwenye soccer!inatokea so usilete hizo
 
Back
Top Bottom