balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Wewe bhana hukuona redcard kwa sitiWalijua wamemalza zile 2 kumbe waliwasha moto mechi ya kwanza kuona mancty anapigiwa mpira kiasi hiki 65% wolves vs 35 mancity.
Unamuongelea Siti Mtemvu auWewe bhana hukuona redcard kwa siti
Kuna nini mkuu mana naona majirani mwaka huu ukame unawaisha!
Wako nafasi ya tano nyuma ya Chelsea kwa tofauti ya point mbiliHalafu mbona haka katimu kanamkazia sn cty?mbona kwa liver hawakazi hivi?
Yani wanavyoshangilia kama ndo mabingwa.
Liver anatakiwa apoteze game 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Matokeo yakoje sasa
Unajisikiaje mvua inavyoondoa ukame?
Ni kama na Mimi nafka kileleni vileUnajisikiaje mvua inavyoondoa ukame?
Kileleni unafikishwa na nani?
Haha...mkuu huyu kadata na man city kufungwa leo...tumwache tu
Haha...mkuu huyu kadata na man city kufungwa leo...tumwache tu