Guardiola matege yameongezeka Leo

Guardiola matege yameongezeka Leo

Walijua wamemalza zile 2 kumbe waliwasha moto mechi ya kwanza kuona mancity anapigiwa mpira kiasi hiki 65% wolves vs 35 mancity.

3-2 kafa mechi ya 5 anakufa msimu huu wakati liver ana point 52 mechi 18 kaachwa point 14 na kiporo juu maana yake kaachwa point 17 ili awe bingwa liver anatakiwa kupoteza mech 6 bila yeye kupoteza kitu ambacho. hakiwezekani!
 
Back
Top Bottom