ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Upuuzi tu wakosane wao watu jumuishe na sisisHiyo laana ya miungu wa kiafrika kwanini ilishindwa kumzuwia asichukue EPL? Hiyo miungu ya Kiafrika kwanini isiisaidie Africa kuchukua World cup? Kama kuna Miungu ya Kiafrika ina maana ipo pia miungu ya Kichina,Kizungu,kiarabu.......So,kuna miungu mingapi Dunia hii?
Hakuna mwafraca anayetokea ulaya hayo ni mazalia ya watumwaweusi wanaotokea africa
Anaitwa Bella Guttmann,aliomba nyongeza ya mshahara wakamnyima na alichukua kombe mara mbili mfululizo nadhani 1962.Akaamua kuwaachia laana.Alizaliwa 1899 na kufariki 1981.Ni mu hungary Hungary, alifundisha mpaka team za taifa za Austria, Netherlands, Italy, Brazil, Uruguay, na Portugal alifundisha club kibao lakini alikuwa akikaa sana anakaa season sio zaidi ya mbili.alikuwa akisema season ya tatu inakuwa "fatal" alikuwa na visa vingi kama mchezaji na kocha na hata wakati anaanza carrreer yake aliwahi kupelekwa kambi ya wa nazi akateswa sana.Huyu jamaa kiasili ni myahudi!Ni myahudi aliyezaliwa na kukulia Hungary.
Noma Sana Kuna watu wanalaani aisee [emoji3] hapo utakuta hata Benfica akikutana na timu ya hovyo haibebi kombeAnaitwa Bella Guttmann,aliomba nyongeza ya mshahara wakamnyima na alichukua kombe mara mbili mfululizo nadhani 1962.Akaamua kuwaachia laana.Alizaliwa 1899 na kufariki 1981.Ni mu hungary Hungary, alifundisha mpaka team za taifa za Austria, Netherlands, Italy, Brazil, Uruguay, na Portugal alifundisha club kibao lakini alikuwa akikaa sana anakaa season sio zaidi ya mbili.alikuwa akisema season ya tatu inakuwa "fatal" alikuwa na visa vingi kama mchezaji na kocha na hata wakati anaanza carrreer yake aliwahi kupelekwa kambi ya wa nazi akateswa sana.Huyu jamaa kiasili ni myahudi!
Kwani Mafisango aliacha laana?Ngoja waje watuambie iliishaje
Mkuu hapo imezungumziwa Guardiola kutokubeba tena UEFA CL tu na sio EPL Wala Africa kuchukua World CupHiyo laana ya miungu wa kiafrika kwanini ilishindwa kumzuwia asichukue EPL? Hiyo miungu ya Kiafrika kwanini isiisaidie Africa kuchukua World cup? Kama kuna Miungu ya Kiafrika ina maana ipo pia miungu ya Kichina,Kizungu,kiarabu.......So,kuna miungu mingapi Dunia hii?
Aisee!!!Bela Guttmann mwenyewe ndo huyu Sasa View attachment 1802208View attachment 1802209
Issue ni maajabu ya laana kutoka kwa miungu ya kiafrika.Mkuu hapo imezungumziwa Guardiola kutokubeba tena UEFA CL tu na sio EPL Wala Africa kuchukua World Cup
Mbona zipo humu,Hivi vitu vipo mkuu siku ntakuja na laana waliyoachiwa Benfica ya Ureno na kocha wao
Kinachotakiwa ni Guardiola kubeba UEFA ili amprove wrong jamaaIssue ni maajabu ya laana kutoka kwa miungu ya kiafrika.
Benfica waliachiwa laana na kocha myahudi Kama sijakosea unaweza kunisahihishaHivi vitu vipo mkuu siku ntakuja na laana waliyoachiwa Benfica ya Ureno na kocha wao
Kaka sema aliambiwajeYule kocha wa kiyahudi aliwaambia maneno mabaya sana mpaka leo ni kweli.
Hujakosea Ila inasemekana ni raia wa hungar mwenye asili ya uyahudiniBenfica waliachiwa laana na kocha myahudi Kama sijakosea unaweza kunisahihisha
Kwahiyo na team zingine ambazo hazijachukua UCL nazo zina laana ya nani?Kinachotakiwa ni Guardiola kubeba UEFA ili amprove wrong jamaa
Upuuzi tu huu.Mwaka 2018 wakala wa Yaya Youre alisema kua"miungu ya kiafrika haitamuacha Guardiola ashinde CL miaka ijayo hii Itakua Kama laana ya kiafrika nawaambieni mda tu ndo utaongea kama nipo sahihi au laa"
Leo guardiola kapoteza fainali ya UEFA dhidi ya Chelsea naona Kama laana ya kiafrika imemshukia kweli Guardiola na maneno ya jamaa Yana ukweliView attachment 1801954
Kwa namna hiyo yupo sawa mkuu. Miafrika iliyokulia Africa haijitambui kabisa kuanzia kwa viongozi mpaka wengine wengine. Acha tu waendelee kubaguliwaHapendi weusi wanaotokea Afrika na sio waliozaliwa na kukualia Ulaya na Amerika Kusini. Mi naona yupo sawa tu. Zamani sikua namkubali kwa hilo.
Hizo timu nyingine zipi?? Hapa anaezungumziwa ni Guardiola Yani popote atakapoendaKwahiyo na team zingine ambazo hazijachukua UCL nazo zina laana ya nani?
Ndio mkuu Kama yule Bela Guttmann alivyoilaani Benfica kutokuchukua Kombe lolote la Ulaya kwa mda wa miaka 100Laana iwepo kwenye Champion leaque tu?hakuna cha laana wala nn
Mkuu acha kuamini vitu vya kufikirika,Hizo timu nyingine zipi?? Hapa anaezungumziwa ni Guardiola Yani popote atakapoenda