Anaitwa Bella Guttmann,aliomba nyongeza ya mshahara wakamnyima na alichukua kombe mara mbili mfululizo nadhani 1962.Akaamua kuwaachia laana.Alizaliwa 1899 na kufariki 1981.Ni mu hungary Hungary, alifundisha mpaka team za taifa za Austria, Netherlands, Italy, Brazil, Uruguay, na Portugal alifundisha club kibao lakini alikuwa akikaa sana anakaa season sio zaidi ya mbili.alikuwa akisema season ya tatu inakuwa "fatal" alikuwa na visa vingi kama mchezaji na kocha na hata wakati anaanza carrreer yake aliwahi kupelekwa kambi ya wa nazi akateswa sana.Huyu jamaa kiasili ni myahudi!