Guardiola na laana ya wachezaji wa Kiafrika

Guardiola na laana ya wachezaji wa Kiafrika

Ambaye anabisha sio laana atuambie ni nini? Man CTY ndio team ambayo inawachezaji classic dunia nzima kwa muda wa miaka 3 mfululizo.
 
Hizi ni myths tu za watu, sasa msimu ujao akilinyakua hilo kombe utasemaje kuhusu hiyo miungu yako.

Hayo mambo ya superstition hayana maana yoyote kwenye mchezo wa soka, soka ni version nyingine ya sayansi.
 
Akinyanyua atakua ame tuprove wrong,,asiponyanyua je we utasemaje?
 
Hakuna cha laana wala nini. Pep ni kocha wa kawaida sana ile mwenye unlimited financial resources.
Achukuwe ukocha Burnley FC ya EPL
tuone kama watachukuwa hata League Cup😅😂🤣
 
Back
Top Bottom