let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Hapo ndo kiumeni sio vikombe vya mtaani kwao kelele kama zoteNitamkubali machine kama ataweza kulift Champions league next season
KloppNitamkubali machine kama ataweza kulift Champions league next season
kwa investment anayofanya anatakiwa ashindane kuchukua champions league sio Epl huo ndo uhalisiaHapo ndo kiumeni sio vikombe vya mtaani kwao kelele kama zote
klopp kaingiaje tena 😂😂Klopp
Pep ndio kocha bora kwa sasa ila mda mwingine bahati inamkosesha matokeoNitamkubali machine kama ataweza kulift Champions league next season
kwenye mpira hamnaga bahati kuna kuzidiwa mbinu mkuu!!? toka yuko bayern na kikosi bora kabisa unasema alikuwa hana bahati!!? kwanini hiyo bahat asingekosa akiwa na Barcelona iliyojaa maviungo fundi na kikosi cha dunia!!?Pep ndio kocha bora kwa sasa ila mda mwingine bahati inamkosesha matokeo
Champion league si nyepesi hivyo kwa kocha yoyote yule.Nitamkubali machine kama ataweza kulift Champions league next season
lazima iwe pep kwa investment aliyofanya na vilabu alivyopitia!!? kwanini uefa zote achukue chini ya Barcelona wakati alikuwa vilabu kama bayern na sasa mancity ambazo zote ni zamoto!!?Champion league si nyepesi hivyo kwa kocha yoyote yule.
Almost makocha wote wakubwa wana UEFA mbili tu ukimtoa Don Carlo na Zidane.
Sasa Kwanini iwe kwa Pep ambaye teyari anayo hayo makombe mawili ya UEFA na pengine anaweza akaongeza la tatu miaka ijayo.
Mdau bahati ipo kwenye soka kwenye 100% ,90 % ni technical skills of football ,10% ndo bahati ilipokwenye mpira hamnaga bahati kuna kuzidiwa mbinu mkuu!!? toka yuko bayern na kikosi bora kabisa unasema alikuwa hana bahati!!? kwanini hiyo bahat asingekosa akiwa na Barcelona iliyojaa maviungo fundi na kikosi cha dunia!!?
basi mpaka hapo anachokosa ni technical skills na sio bahati mkuu kama ambayo haiji mara mbili na ndivyo ambayo haikukosi siku zote!!! je unajua ni miaka mingapi sasa guardiola hana Uefa je kwa mantiki ya kawaida utaita hii ni bahatMdau bahati ipo kwenye soka kwenye 100% ,90 % ni technical skills of football ,10% ndo bahati ilipo
Before mlisema mtamkubali akitia mguu EPL, kwasasa yupo anafanya yake...Sasa mmebadili magoli mnataka hadi CL sijui mtasema nini baada ya kulifanya ilo😂.Nitamkubali machine kama ataweza kulift Champions league next season
Ww unaesema kuwa gurdiola Hana skills ,hebu jibu swali hili ukiitoa Liverpool pale wiingereza taja timu nyingine yenye skills ,sikiliza Kuna mambo mengi sana katika soka ukiangalia vizuri man city inabebwa sana na mbinu za gurdiola so kusema kwamba hana technical skills ni kudharau kocha Bora England 🤗🤗🤗basi mpaka hapo anachokosa ni technical skills na sio bahati mkuu kama ambayo haiji mara mbili na ndivyo ambayo haikukosi siku zote!!! je unajua ni miaka mingapi sasa guardiola hana Uefa je kwa mantiki ya kawaida utaita hii ni bahat
Aisee ile furaha ya jana ilibidi nibueudike na mrembo kwa kumfunga nae goli tatu safi🤣🤣🤣🤣Sure.. Jamaa anajua kutufurahisha fans wa city😁.
Pep hana cha kuprove kwako au mtu yoyote, sio kocha wa kuprove kitu kwa mtu, he is the best manager of all time, taja taji ambalo hajachukua?basi mpaka hapo anachokosa ni technical skills na sio bahati mkuu kama ambayo haiji mara mbili na ndivyo ambayo haikukosi siku zote!!! je unajua ni miaka mingapi sasa guardiola hana Uefa je kwa mantiki ya kawaida utaita hii ni bahat