Guardiola the machine

basi mpaka hapo anachokosa ni technical skills na sio bahati mkuu kama ambayo haiji mara mbili na ndivyo ambayo haikukosi siku zote!!! je unajua ni miaka mingapi sasa guardiola hana Uefa je kwa mantiki ya kawaida utaita hii ni bahat
We ni mtu wa kwanza kusikia ukisema Pep hana technical skills, inafurahisha mno.[emoji3]
 
Pep hana cha kuprove kwako au mtu yoyote, sio kocha wa kuprove kitu kwa mtu, he is the best manager of all time, taja taji ambalo hajachukua?
Acha kufanya vitu Kwa hisia kijana pep hawez kuwa best manager of all time huk ni kawakosea heshima kina sir Alex Ferguson hicho unacho kiona pep anakifanya Ferguson alifanya miaka mingi sana. tena zaidi yake kashinda 13 premium leauge dkawin trable 1999 premium leauge,FA cup na Champions leauge.kawin English premium leauge mara tatu mfuliz msimu wa 2006 to 2008.bado Bill shakryn kocha wa zamani wa livepoor Bado Vincent de Bose que Koch wa zamani wa Spain na Real Madrid bado Carlo anceloti bado joahn crufty kocha wa zamani wa Barcelona na Netherlands
 
Ferguson huyu aliyekuwa anatetemeka dhidi ya Barcelona ya Guardiola?
 
Siku atashinda champions league hadi awe na main players from Africa otherwise atalisikia kwenye bomba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…