Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Inakuwa kero na balaa ndani ya nyumba zetu, na amani inakuwa ndogo kati ya mume na mke, muda wowote mnakinukisha, na mashitaka yasioisha ndani ya familia na baraka ndani ya, nyumba hutoweka, na mikosi kukaribisha ndani ya nyumba.