Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
GuDume kabananishwa leo kazoea kuwabadili badili mara mbunge ,mara wa ofisini mara sijui nani wa jf mpaka watu wanakuja kulia humu sasa leo kakutana na dawa ya moto,,
View attachment 640744 hii ndio hali aliyonayo mwanajf mwenzetu tumuombee yaan hapo kawa mdogo mdogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kina Daby mjifunze na nyie yasijewakuta
Kuwakalisha wenzenu kwenye uchumba miaka 6 utafikiri mnasoma PHd haya sasa
Yaan Gudume kila siku anamuambia asubirie dada kachoka miaka 6 unaenda wa saba ,kaona afanye tu hivyo hakuna namna [emoji23][emoji23]Kwa hiyo mama sabrina unataka kusema GuDume amemsomesha mtoto wa watu shahada ya MD na mwaka mmoja wa Intern tena shahada ya Kairuki ya Ada kubwa???
Wanafanana etihuyo alieshika mguu wa kuku ni miss natafuta au nimemfananishaa!![emoji20]
Aisee wanapendezaa.Wanafanana eti
Aringee [emoji2] [emoji2]huyo alieshika mguu wa kuku ni miss natafuta au nimemfananishaa!![emoji20]
Ni shiida.Hahahahhh eti ada kubwa ya kairuki!
Halafu mimi napete mkononi wewe kwa hiyo niondoe hapo... au unataka niki-comment katikati ya herufi niweke picha yetu na mama klareeYaan Gudume kila siku anamuambia asubirie dada kachoka miaka 6 unaenda wa saba ,kaona afanye tu hivyo hakuna namna [emoji23][emoji23]
,mfano tu najua we ni goodboyNi shiida.
Halafu mimi napete mkononi wewe kwa hiyo niondoe hapo... au unataka niki-comment katikati ya herufi niweke picha yetu na mama klaree
Daby ni sukari ya wabeibe huyoo! NshamjuaDaby haya sasa,,,
Nimetoa tu mfano na kumuonya daby asifanye kama GudumemDaby ni goodboy
Sijawahi ona uume unashikwa hivyo unless ulikutana na muuza k. UmaBastola ameishika kama uume!
Ngoja miss akukuteAisee wanapendezaa.