Gudume kakutana na mbabe kanyweaa

Gudume kakutana na mbabe kanyweaa

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
GuDume kabananishwa leo kazoea kuwabadili badili mara mbunge ,mara wa ofisini mara sijui nani wa jf mpaka watu wanakuja kulia humu sasa leo kakutana na dawa ya moto,,
Screenshot_2017-11-29-20-34-05-1.png
hii ndio hali aliyonayo mwanajf mwenzetu tumuombee yaan hapo kawa mdogo mdogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kina Daby mjifunze na nyie yasijewakuta
Kuwakalisha wenzenu kwenye uchumba miaka 6 utafikiri mnasoma PHd haya sasa
 
GuDume kabananishwa leo kazoea kuwabadili badili mara mbunge ,mara wa ofisini mara sijui nani wa jf mpaka watu wanakuja kulia humu sasa leo kakutana na dawa ya moto,,
View attachment 640744 hii ndio hali aliyonayo mwanajf mwenzetu tumuombee yaan hapo kawa mdogo mdogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kina Daby mjifunze na nyie yasijewakuta
Kuwakalisha wenzenu kwenye uchumba miaka 6 utafikiri mnasoma PHd haya sasa

Kwa hiyo mama sabrina unataka kusema GuDume amemsomesha mtoto wa watu shahada ya MD na mwaka mmoja wa Intern tena shahada ya Kairuki ya Ada kubwa???
 
Kwa hiyo mama sabrina unataka kusema GuDume amemsomesha mtoto wa watu shahada ya MD na mwaka mmoja wa Intern tena shahada ya Kairuki ya Ada kubwa???
Yaan Gudume kila siku anamuambia asubirie dada kachoka miaka 6 unaenda wa saba ,kaona afanye tu hivyo hakuna namna [emoji23][emoji23]
 
Hahahahhh eti ada kubwa ya kairuki!
Ni shiida.
Yaan Gudume kila siku anamuambia asubirie dada kachoka miaka 6 unaenda wa saba ,kaona afanye tu hivyo hakuna namna [emoji23][emoji23]
Halafu mimi napete mkononi wewe kwa hiyo niondoe hapo... au unataka niki-comment katikati ya herufi niweke picha yetu na mama klaree
 
GuDume huwa mjanja mjanja sana, haiwezekani utie miaka yote unahaidi tuuuuu mwisho wa siku anaenda oa mdogo mtu!

Mfyuuuuu huo upuuzi hakunaga ngastuka tupu lanyiooooi
 
Halafu Daby wewe, unaona ma Sabrina kakutolea mfano yani nazidi kuwehuka ntakupata tu SUKARI YAO
 
Ni shiida.

Halafu mimi napete mkononi wewe kwa hiyo niondoe hapo... au unataka niki-comment katikati ya herufi niweke picha yetu na mama klaree
,mfano tu najua we ni goodboy
 
Back
Top Bottom