Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #41
Hahaha,,hapo na ndoa imekaribia yaan umenywea kwelii,haiwezekani kabisa kutumiana vifaa vyetu mpakq vinachakaaukute hiyo bastola nmeshikiwa na Mama Sabrina... amechoka miaka inaenda anakamuliwa tu mpaka nanii inaanza kuchakaa halaf jamaa sioneshi kama nataka kuchukua jumla jumla wapenzi miaka 10????????????
Uja maneno weweha ha ha.... we hujawahi ona mtu kila siku anapanda bajaji hiyo hiyo ila akija kutaka kununua usafiri ananunua gari ?????????
Kachoshwa kabisa na tabia ya kumuambia asubirie tu kila siku asubiriee tuha ha ha... dada wa watu amechoka kupigishwa show za kibabe kila siku halafu haoni uelekeo wowote.
Maweee mbona umebadili avatar?Ni shiida.
Halafu mimi napete mkononi wewe kwa hiyo niondoe hapo... au unataka niki-comment katikati ya herufi niweke picha yetu na mama klaree
Karibu nawe badiliMaweee mbona umebadili avatar?
Kwa vile umemtoa Daby wangu niliyekuwa nampenda I'm officially ending our relationship today. Usianze ooh si tulikuwa tumeshaachana...yes tulikuwa tumeachana ila nilikuwa bado nakutamani[emoji85] [emoji85]Karibu nawe badili
Hahahah....ha ha ha.... we hujawahi ona mtu kila siku anapanda bajaji hiyo hiyo ila akija kutaka kununua usafiri ananunua gari ?????????
Hahahah....
Ndio maana huwa wanakusaka.
Vipi yule wa mpaka analowa mlimalizana vipi??
Ulimlowanisha vyema lakini ?Ha ha ha... Alinisababishia msala
Teh... nikupe umweke kwako?Kwa vile umemtoa Daby wangu niliyekuwa nampenda I'm officially ending our relationship today. Usianze ooh si tulikuwa tumeshaachana...yes tulikuwa tumeachana ila nilikuwa bado nakutamani[emoji85] [emoji85]
Utakapomweka tena mimi nitakuwa nimeshamove on[emoji13]Teh... nikupe umweke kwako?
subiri utumwa uishe libya nitamweka japo ananisababishia matatizo tu.
Kwa nani?Utakapomweka tena mimi nitakuwa nimeshamove on[emoji13]
Khaa unavyouliza mtu anaweza kudhani unayo peke yako. Unataka ujue ukaniharibie thubutuKwa nani?
[emoji23] [emoji23] ... nataka kujua kama ni mnyonge ama kanizidi.Khaa unavyouliza mtu anaweza kudhani unayo peke yako. Unataka ujue ukaniharibie thubutu
Ndio mwenyewe Miss Natafuta, na hiyo njemba yenye misuli na kujengeka kiume kabisa ni RRONDO, hatimaye kapata mbabe wake!huyo alieshika mguu wa kuku ni miss natafuta au nimemfananishaa!![emoji20]