Gudume kakutana na mbabe kanyweaa

Gudume kakutana na mbabe kanyweaa

ukute hiyo bastola nmeshikiwa na Mama Sabrina... amechoka miaka inaenda anakamuliwa tu mpaka nanii inaanza kuchakaa halaf jamaa sioneshi kama nataka kuchukua jumla jumla wapenzi miaka 10????????????
Hahaha,,hapo na ndoa imekaribia yaan umenywea kwelii,haiwezekani kabisa kutumiana vifaa vyetu mpakq vinachakaa
 
ha ha ha... dada wa watu amechoka kupigishwa show za kibabe kila siku halafu haoni uelekeo wowote.
Kachoshwa kabisa na tabia ya kumuambia asubirie tu kila siku asubiriee tu
 
Ni shiida.

Halafu mimi napete mkononi wewe kwa hiyo niondoe hapo... au unataka niki-comment katikati ya herufi niweke picha yetu na mama klaree
Maweee mbona umebadili avatar?
 
Karibu nawe badili
Kwa vile umemtoa Daby wangu niliyekuwa nampenda I'm officially ending our relationship today. Usianze ooh si tulikuwa tumeshaachana...yes tulikuwa tumeachana ila nilikuwa bado nakutamani[emoji85] [emoji85]
 
ha ha ha.... we hujawahi ona mtu kila siku anapanda bajaji hiyo hiyo ila akija kutaka kununua usafiri ananunua gari ?????????
Hahahah....

Ndio maana huwa wanakusaka.
Vipi yule wa mpaka analowa mlimalizana vipi??
 
Kwa vile umemtoa Daby wangu niliyekuwa nampenda I'm officially ending our relationship today. Usianze ooh si tulikuwa tumeshaachana...yes tulikuwa tumeachana ila nilikuwa bado nakutamani[emoji85] [emoji85]
Teh... nikupe umweke kwako?

subiri utumwa uishe libya nitamweka japo ananisababishia matatizo tu.
 
Teh... nikupe umweke kwako?

subiri utumwa uishe libya nitamweka japo ananisababishia matatizo tu.
Utakapomweka tena mimi nitakuwa nimeshamove on[emoji13]
 
Khaa unavyouliza mtu anaweza kudhani unayo peke yako. Unataka ujue ukaniharibie thubutu
[emoji23] [emoji23] ... nataka kujua kama ni mnyonge ama kanizidi.
 
Back
Top Bottom