Guede anafunga magoli magumu sana

Guede anafunga magoli magumu sana

Angekuwa bado yuko kwenye 20's, ningeamini. Bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Yupo kwenye 30's. Ila ana improvement kwa kweli. Na ana utulivu mkubwa pale anapolitazama goli, ukimlinganisha na mdogo wake Kibu Denis (Clement Mzize)
 
Hata Msonda alikua yeye na kipa anamgongesha mpira wakati Gwede ana utulivu sana aisee nafasi anayopata anaitumia vizuri hao ndio washambuliaji sio mtu anataka apate nafasi za wazi tano ili afunge goli moja...
 
Ulivyomalizia sasa 😂
 
Musonda sijui ni bahati ya goli hana au ni kukosa utulivu?
 
Nimegundua mpira wa miguu ni mchezo mgumu sana na kuwa na uelewa nao ni ngumu pia.
Kuna watu humu walikua Wana mbeza sana Guede lakini mimi niliwaambia jamaa anajua kujiweka kwenye maeneo mazuri na pia sio rahisi kumpokonya mipira anajua kufichwa mali kitu pekee ambalo ni tatizo ni speed lakin kwa utulivu na uzoefu jamaa anavyo vyote.
Sasa kazoea ligi na kufunga uku kwa mechi mbili mfululizo naamini itakua ni chachu kwake sasa kuanza kufunga sana tu.
 
Back
Top Bottom