Guede na wenzako tuachieni Yanga yetu

Guede na wenzako tuachieni Yanga yetu

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
630
Reaction score
2,151
Wachezaji wafuatao hawana msaada ndani ya Yanga sc na wanapaswa kufukuzwa mwishoni mwa msimu huu

Joseph Guede '_ huyu hata kwa kumuangalia tu ni mtu mzima tena mzee, mchezaji kalegea kama mpiga punyeto wa manzese, hajitumi, wala hana uchungu na timu sio ajabu amekaa miezi 6 hana timu, hana hadhi ya kucheza Yanga sc. Afukuzwe

Skudu'_usajili wakipumbavu zaidi kuwah kufanyika ndani ya Yanga sc, hana msaada wa aina yoyote ile. AFUKUZWE

Musonda _huyu hana consistency, pia ball control yake ni mbaya, hana utulivu akiwa na mpira mguuni na nimchezaji wa baadhi ya mechi. AFUKUZWE

Fred_ average player, hana uwezo wa kucheza yanga, mabeki wenye uwezo zaidi yake wako wengi katika timu ndogo za ligi kuu Tanzania. Kwanza mchezaji gani wa mpira unakitambi kama mgonjwa wa kifaduro. AFUKUZWE

Kibabage _ arudi singida fountain gate, sioni kama anauwezo wakuifikisha yanga popote, mchezaji mjinga anaewaza kwenda mbele muda wote bila kutumiza jukumu lake mama la ulinzi. FUKUZA

LOMALISA _huyu kwa sasa hatufai tena ni wakati wakufanya usajili mwingine Juzi kati alikuwa anafanya promosheni za bia kitambaa cheupe analewa hovyo nakukatika viuno kama bwege. FUKUZA

Mkude _Huyu ni mlevi na mjinga, hajitambui, HATUFAI. ikiwezana vitu vyake vitupwe nje pale avic town asikanyage tena
 
Skudu mnamuonea ...ni mchezaji mzuri ila papai lenu gamondi ndio hataki kumchezesha anang'ang'ania wapaka bleach pale kati
 
Wachezaji wafuatao hawana msaada ndani ya Yanga sc na wanapaswa kufukuzwa mwishoni mwa msimu huu

Joseph Guede '_ huyu hata kwa kumuangalia tu ni mtu mzima tena mzee, mchezaji kalegea kama mpiga punyeto wa manzese, hajitumi, wala hana uchungu na timu sio ajabu amekaa miezi 6 hana timu, hana hadhi ya kucheza Yanga sc. Afukuzwe

Skudu'_usajili wakipumbavu zaidi kuwah kufanyika ndani ya Yanga sc, hana msaada wa aina yoyote ile. AFUKUZWE
Mashabiki wa mpira Tanzania ni pasua kichwa? Hii yote ni kwa sababu Yanga Kafungwa? Timu gani haifungwi hapa Tanzania?
 
Wachezaji wafuatao hawana msaada ndani ya Yanga sc na wanapaswa kufukuzwa mwishoni mwa msimu huu

Joseph Guede '_ huyu hata kwa kumuangalia tu ni mtu mzima tena mzee, mchezaji kalegea kama mpiga punyeto wa manzese, hajitumi, wala hana uchungu na timu sio ajabu amekaa miezi 6 hana timu, hana hadhi ya kucheza Yanga sc. Afukuzwe

Skudu'_usajili wakipumbavu zaidi kuwah kufanyika ndani ya Yanga sc, hana msaada wa aina yoyote ile. AFUKUZWE

Musonda _huyu hana consistency, pia ball control yake ni mbaya, hana utulivu akiwa na mpira mguuni na nimchezaji wa baadhi ya mechi. AFUKUZWE

Fred_ average player, hana uwezo wa kucheza yanga, mabeki wenye uwezo zaidi yake wako wengi katika timu ndogo za ligi kuu Tanzania. Kwanza mchezaji gani wa mpira unakitambi kama mgonjwa wa kifaduro. AFUKUZWE

Kibabage _ arudi singida fountain gate, sioni kama anauwezo wakuifikisha yanga popote, mchezaji mjinga anaewaza kwenda mbele muda wote bila kutumiza jukumu lake mama la ulinzi. FUKUZA

LOMALISA _huyu kwa sasa hatufai tena ni wakati wakufanya usajili mwingine Juzi kati alikuwa anafanya promosheni za bia kitambaa cheupe analewa hovyo nakukatika viuno kama bwege. FUKUZA

Mkude _Huyu ni mlevi na mjinga, hajitambui, HATUFAI. ikiwezana vitu vyake vitupwe nje pale avic town asikanyage tena
Unawalaumu hao wachezaji kwasababu ya mechi ya jana tu au ? Vipi kuhusu mzize,sureboy na zengeli?
 
Timu mbovu inabebwa na mtu mmoja.huyo akidrop ni kimbembe
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ila Tanzania ufe mwenyewe kwa sresss...
 
Back
Top Bottom