zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Nawezaje fikiria unavyowaza dah!Hebu nawe bahatisha jibu langu dhidi ya hayo mashairi yako tuone kama utakua umepatia namna ambavyo nimewaza
Ngumu eeh?Nawezaje fikiria unavyowaza dah!
Mmh hapana wengi wanajua nyimbo hebu we niandike mstari wowote nyimbo ya kibongo nijaribuNgumu eeh?
Basi ugumu huo huo ndio ambao na sisi tunaupata kubahatisha nyimbo zako
Mada inahusu kubahatishaMmh hapana wengi wanajua nyimbo hebu we niandike mstari wowote nyimbo ya kibongo nijaribu
Nope nilitaka kumanisha andika mstari then watu wataje ni wimbo gani angalia kwenye mfano utaonaMada inahusu kubahatisha
Usiniambie niandike Nataka nawe ubahatishe
Duh!ngumu kumeza twambie ni song gani[emoji445]Now I ain't got no kids yet
But this right here is for practice
I hate to get the seats in the Benz wet
But that is how good your ass is
Make an old man get his glasses[emoji445]
Dah!sijaujua dah!tell us pleaseNiko fresh kama genge, masela zangu wote vichaa unaweza hisi mimi ni nesi wa milembe
............
Kama John bocco nna mapenne
Kwenye Voko nina flow ya maporomoko ya kinole[emoji443]
Cant get enough - Joe Cole🎶Now I ain't got no kids yet
But this right here is for practice
I hate to get the seats in the Benz wet
But that is how good your ass is
Make an old man get his glasses🎶
Duh!ngumu kumeza twambie ni song gani
MaraHebu nipe mji kwanza
Jibu halitolewagi kizembe namna hiyo
Cant get enough - Joe Cole
NB. Nimejibu kwakua hii ni hiphop ilikua nigeuke nirudi nilipotoka
Dah!wimbo wa chekechea[emoji23][emoji23][emoji23]Mabata madogo madogo yanaogelea..yanaogelea katika shamba zuri la bustaniiiii[emoji445]
Yanapenda kutembea bila viatu..bilaaaaa..bila viatuuuu katika shamba zuri la bustaniiiii [emoji445]
Haya guess hapo
Mara
[emoji23][emoji23]aya Pwani basi kisa wakurya huendi MaraAseee!siendi