Guess the Lyrics(Bahatisha Mashairi):Its A Game

Guess the Lyrics(Bahatisha Mashairi):Its A Game

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Can you guess the Lyrics of Different Songs Then Let's Play A Game
One Person writes the lyrics of any song then U have to guess the song...

Unaweza bahatisha mashairi ya nyimbo.
Tucheze huu mchezo mtu anaandika mashairi kidogo tu ya wimbo we unabahatisha ni wimbo gani..

Mfano
Ohh basi jilegeze nikubebe mgongoni deka..nikudekeze nikutunze kama mboni[emoji445]

Guess:Harmonize-Kwangwaru

Example
"I'm in love with you.[emoji444][emoji445]
There's nothing I wouldn't do catch a bullet for you as long as you love me too[emoji445]

Guess-African beauty
 
Hebu nawe bahatisha jibu langu dhidi ya hayo mashairi yako tuone kama utakua umepatia namna ambavyo nimewaza
 
Hebu nawe bahatisha jibu langu dhidi ya hayo mashairi yako tuone kama utakua umepatia namna ambavyo nimewaza
Nawezaje fikiria unavyowaza dah!
Utakuwa umewaza labda ni kitu kisichowezekana
 
Ngumu eeh?

Basi ugumu huo huo ndio ambao na sisi tunaupata kubahatisha nyimbo zako
Mmh hapana wengi wanajua nyimbo hebu we niandike mstari wowote nyimbo ya kibongo nijaribu
 
Mada inahusu kubahatisha

Usiniambie niandike Nataka nawe ubahatishe
Nope nilitaka kumanisha andika mstari then watu wataje ni wimbo gani angalia kwenye mfano utaona
 
[emoji445]Now I ain't got no kids yet
But this right here is for practice
I hate to get the seats in the Benz wet
But that is how good your ass is
Make an old man get his glasses[emoji445]
Duh!ngumu kumeza twambie ni song gani
 
Niko fresh kama genge, masela zangu wote vichaa unaweza hisi mimi ni nesi wa milembe
............
Kama John bocco nna mapenne
Kwenye Voko nina flow ya maporomoko ya kinole[emoji443]
Dah!sijaujua dah!tell us please
 
[emoji445]utamu wa big G ni kutafuna usimeze uroda ongeza tu bidii kunikuna na sio kuniroga..
Kunikomaza hivi pika nguna ntaileta mboga unipe na kabichi kwetu suna nishushe na soda[emoji444][emoji445]
 
Mabata madogo madogo yanaogelea..yanaogelea katika shamba zuri la bustaniiiii🎶

Yanapenda kutembea bila viatu..bilaaaaa..bila viatuuuu katika shamba zuri la bustaniiiii 🎶

Haya guess hapo
 
Mabata madogo madogo yanaogelea..yanaogelea katika shamba zuri la bustaniiiii[emoji445]

Yanapenda kutembea bila viatu..bilaaaaa..bila viatuuuu katika shamba zuri la bustaniiiii [emoji445]

Haya guess hapo
Dah!wimbo wa chekechea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom