amsr
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 259
- 303
The rap graduate ,gheto me nna vyeti vya kutosha
Na ukitaka battle unafichwa kama nyeti ndani ya boxer
Nachana anga kama jet ama chopa
Hii verse iko sex so naidedicate kwa maporn star
Kichwani mtupu kama gheto la mateja
Mtutu hadharani wazi kama depo la wajeda
Tuko tofauti kama deco na macheda
Au meja na scout ,dought kama depo la vinega