CHIEF MVUNGI
Member
- Apr 6, 2012
- 99
- 15
wewe sema una demu maeneo hayo!ukifika waulize vijana wa bodaboda au taxi drivers
hayo mawazo yako babu ila asante pia kwa ushauri
Up Hill Forest - Temboni
Temboni Inn - Temboni
Halafu kuna nyingine ipo Mbezi Mwisho(Makondeni) barabara ya zamani kama unaenda kwa Yusuph jina nimelisahau lakini ukiuliza bodaboda,taxi driver au bajaj driver watakufikisha.
Zote hizo zipo karibu na barabara ya Morogoro.
Asante babu ulinzi si fresh?