Guest na Lodge wamezijaza wao lakini kwa unafiki wataanza memes za kuwasema waislam

Guest na Lodge wamezijaza wao lakini kwa unafiki wataanza memes za kuwasema waislam

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Shalom shalom

Nipo kwenye group ambalo members wake asilimia 99 ni makafiri huku kobaz tukiwa wawili tu.

Vilevile huo mkoa asilimia kubwa ni hawa ndugu zetu katika imani asilimia 99

Chakushangaza washaanza memes za kudai kobaz wapunguze oda za Lodge na guests wakati kuhalisia hata kobazi wa eneo hilo lote waungane hawawez jaza hata lodge moja tu maana msikitini hatufiki hata 50 ukichanganya na wanafunzi na wamama watu wazima vibibi, pia vibabu vichache.

Aisee tupunguze unafiki mkiamua kufanya uchafu wenu fanyeni msihawahusishe kobazi.

Nguruwe mnakula nyinyi pia lakn mnawasema kobazi ambao hawafik hata 50 Kijiji kizima, na kuna mabucha zaid ya 15 ya mdudu

Wakristo nawapenda sana lakn mmezidi unafiki punguzeni
 
D50219AD-D64A-44EA-9A68-FCD7BCE64705.jpeg
 
Hapa niende kwa Jamila nimpige bao tano za sekunde mbili mbili, siku 30 bila kuiona inahitaji moyo kama wa pharaoh.
 
Ujinga wa muafrika uko kwenye dini. Dini ya kuletewa lakini muafrica anaweza kuuwa mtu.
 
Back
Top Bottom