Guest User huwa wanajiuliza sana huko waliko huyu ZERO IQ ni nani?

Guest User huwa wanajiuliza sana huko waliko huyu ZERO IQ ni nani?

Ni mjasiriamali anaekaribia kufunga kiwanda chake kidogo kwa kuendekeza wanawake
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] katika kitu niko makini ni kulinda mtaji wa kiwanda changu tu mkuu
Ila mkuu kama una sehemu kubwa pika na ubwabwa wateja wako wakichoka chips wale ubwabwa,
 
Back
Top Bottom