Guest User huwa wanajiuliza sana huko waliko huyu ZERO IQ ni nani?

Hahahaaaaa anachonifurahisha huyu jamaa nguvu zake nyingi na akili zake zote ameziwekeza kwenye kazi yake ya uchakataji viazi tena kwa ubunifu wa kipekee yaani hua simtofautishi sana na babu@Asprin nae jinsi alivyowekeza kwenye kuchakata K Vant.
Talking about Asprin mapenzi yamepungua ninatafuta mganga wa kumuweka sawa.
 
Viazi vinaweza kuunganisha nguvu vimchakate yeye. Hakuna aliyeshindana na mlango wa viazi akabaki salama
Viazi vyenyewe siku hizi vya kichina maji mara moja tu vinapwaya havina nguvu tena
 
zeroo eeh
kiwanda chako kiko wapi nije kula product hizo nikimaliza nimle mpishi
Kiwanda kipo dom town siku hiyo ukija nitakuwa mpishi ili niliwe na wewe natamani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…