Guide book ya NACTE

Guide book ya NACTE

Javis Elias Balilemwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
489
Reaction score
67
Jamani naomba mnijuze karika guide book ya nacte 2014 katika vyuo katika sehemu ya fees kuna baadhi ya vyuo pamejazw lakini vengine hapaja jazwa nauliza vile ambavyo havija jazwa ndo vina loan priority au .??
 
Unauliza vyuo ganii kakaa vya afya au ualimu na ngazi ganii diploma auu?? Funguka freshh ndugu tukuelekeze
 
Anhaaaa sawaa nduguu lisikuumize kichwa hiloo la ada zao huwaa wanawekaa halafuu ukiendaa chuo unakuta pungufu ya ile walioiweka hata mwaka jana waliweka izoizo ada lakini siukwelii kutokana na mahitajii ya chuo, zisikutishee aply utapewaa join instruction kupitia profile yako nduguu hizo wameziwekaa tuu ila ukienda chuo utakutaa hazifikii ndugu relax ndo uzurii wa vyuo vya government, ilaa kwa private ukiona wameweka ndohizohizo ada so zisikuumizee kichwaa minililipa elfu 70 nilipoanza apachuoo na hakuna matatizo jaribu kufight vyuo vya government kama hauna uwezo wa kumudu private na ada za vyuo vya wizara ni sawaa hazina utofautii ni kukosea tuu kuziweka lakini ni zilezile mwananguu
 
mkuu iyo guide book ya nacte ulipataje? naomba mwongozo tafadhali kuna dogo ana hizi four mpya nashindwa nimpekeke wapi kabisa. huu mfumo wa Gpa utaipeleka nchi pabaya sana.
 
ndugu wana jf habarini
Tafadhali anayejua vigezo/entry qualification ya kudahiliwa kozi ya ualimu ngazi ya cheti/ordinary diploma 2015 kwa mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne 2014. Pia naomba kufahamishwa utaratibu wa kuomba kwani kuna fununu kuwa utaratibu umebadilika. Mwenye kujua tafadhali anijulishe
 
Back
Top Bottom