Anhaaaa sawaa nduguu lisikuumize kichwa hiloo la ada zao huwaa wanawekaa halafuu ukiendaa chuo unakuta pungufu ya ile walioiweka hata mwaka jana waliweka izoizo ada lakini siukwelii kutokana na mahitajii ya chuo, zisikutishee aply utapewaa join instruction kupitia profile yako nduguu hizo wameziwekaa tuu ila ukienda chuo utakutaa hazifikii ndugu relax ndo uzurii wa vyuo vya government, ilaa kwa private ukiona wameweka ndohizohizo ada so zisikuumizee kichwaa minililipa elfu 70 nilipoanza apachuoo na hakuna matatizo jaribu kufight vyuo vya government kama hauna uwezo wa kumudu private na ada za vyuo vya wizara ni sawaa hazina utofautii ni kukosea tuu kuziweka lakini ni zilezile mwananguu