Guinea: Video ya Baltasar Engonga akifungwa Pingu na kufikishwa Rumande kwa kashfa ya video za ngono ofisini

Mahakama Kuu ya Equatorial Guinea imemuona Bartazar Engonga hana hatia kufuatia kadhia ya video za ngono alizorekodi alipokuwa akifanya vitendo vya ngono na wanawake zaidi ya 460.

Mahakama imeridhika kuwa akina mama hao walikuwa ni watu wazima wenye maamuzi yao binafsi, hakumwambukiza yeyote kati yao gonjwa la zinaa.

Kwa upande mwingine wanaume wengi ambao walikuwa waume wa hao wanawake wamemshukuru kwa kuwasaidia kujua tabia halisi za wake zao na wengi weamua kuachana nao rasmi.
 
View attachment 3147100
... imagine mwanamke, wako, bosi wake, BATA'ZALI, ni kiongozi wa TAKUKURU na amemkuta mkeo na kidhibiti cha rushwa, halafu mkeo ni kifaa ...!
😅 ... MAZINGIRA TOSHA YA RUSHWA YA NGONO KWA RIDHAA!
 
Kesi ana uyo mjuba kwanza izo video zilitulia seem salama adi watu wa mamlaka walipoenda pekua nyumba ndio wao wakasambasa ayo mambo sio yeye pili kala mke wa mchungaji wake apo dhambi anafutiwa mokwakwamoja sababu wachungaji ndio wanapenda kula wake za watu,, apo zambi ana mchungaji alitakiwa kumkemea pepo wa ngono wa uyo mjuba zambi ana kosa la mchungaji na kudhingatia alikuwa akipokea sadaka ya mjuba ilionona lkn kashindwa kutumiza uchungaji wake!! Au nakosea
 
Muosha huoshwa.

Nafikiri Hatia yake itakuwa ni kufanya mapenzi Ofisini kwenye majengo ya umma. Hata hivyo, hakupaswa kufungwa pingu mikononi na miguuni kwa sababu kiuhalisia siyo mtu hatari.

Completely unclear and unknown.
Mtu amekula dada wa rais..... Huyo atapata tabu sana....
 
Ebu ajitokeze mmoja mwenye moyo safi anitupie video hata moja pm ya kupigia nyeto
 
Kesi ana uyo mjuba kwanza izo video zilitulia seem salama adi watu wa mamlaka walipoenda pekua nyumba ndio wao wakasambasa ayo mambo sio yeye pili kala mke wa mchungaji wake apo dhambi anafutiwa mokwakwamoja sababu wachungaji ndio wanapenda kula wake za watu,, apo zambi ana mchungaji alitakiwa kumkemea pepo wa ngono wa uyo mjuba zambi ana kosa la mchungaji na kudhingatia alikuwa akipokea sadaka ya mjuba ilionona lkn kashindwa kutumiza uchungaji wake!! Au nakosea
Kaachiwa huru
 
Back
Top Bottom