Hatari sanaUkisimama nchale ukikaa nchale
Corona haijapoa unakuja mwingine mkubwa zaidi, wanadamu sasa tutaacha kufanya kazi tufanye kazi moja ya kujikinga ma haya magonjwa yanayozuka kila siku.
But kama Ebola haikuwahi kufika huku naamini hata hiyo Marburg virus itaishia huko huko. njia zake za kuambukiza zinatoa nafasi ya kujipanga.
ili kujikinga unatakiwa kuvaa hivi.Corona haijapoa unakuja mwingine mkubwa zaidi, wanadamu sasa tutaacha kufanya kazi tufanye kazi moja ya kujikinga ma haya magonjwa yanayozuka kila siku.
But kama Ebola haikuwahi kufika huku naamini hata hiyo Marburg virus itaishia huko huko. njia zake za kuambukiza zinatoa nafasi ya kujipanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duhhili kujikinga unatakiwa kuvaa hivi
View attachment 1887314
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duhh
Mujiandae kuchanjwa hapo.Corona haijapoa unakuja mwingine mkubwa zaidi, wanadamu sasa tutaacha kufanya kazi tufanye kazi moja ya kujikinga ma haya magonjwa yanayozuka kila siku.
But kama Ebola haikuwahi kufika huku naamini hata hiyo Marburg virus itaishia huko huko. njia zake za kuambukiza zinatoa nafasi ya kujipanga.
Wataalamu wa Afya Nchini humo wamethibitisha kisa cha kwanza cha Marburg katika Ukanda wa Afrika Magharibi. Ugonjwa huo umetajwa kuwa jamii moja na Virusi vya Ebola. Mgonjwa aliyekutwa nao amefariki dunia.
Imeelezwa, Ugonjwa huo unasambaa kwa binadamu kupitia majimaji. Jitihada za kutafuta watu waliokuwa karibu na Mgonjwa zinafanyika.
Mifumo iliyowekwa Guinea na Mataifa jirani kudhibiti milipuko ya Ebola inarejeshwa tena ili kukabiliana na Ugonjwa huo.
===
Health officials in Guinea have confirmed West Africa’s first case of Marburg, a highly-infectious disease that’s in the same family as the virus that causes Ebola.
The World Health Organization (WHO) said the virus needed to be “stopped in its tracks”.
Marburg virus disease is transmitted to people from fruit bats and spreads among humans through the transmission of bodily fluids.
It’s a severe, often fatal illness that causes fever and bleeding disorders.
Samples taken from the patient in Guinea, who has since died, were tested in the country’s laboratories, and returned a positive result for the Marburg virus.
Dr Matshidiso Moeti, from the WHO, said the virus had the potential to spread far and wide.
Efforts are now underway to find people who may have been in contact with the man.
The systems in place in Guinea and neighbouring countries to control recent Ebola outbreaks are being taken up again in response to the Marburg virus.
Source: BBC
LAMDA = LAMBDAsasa hii ni family moja na ebola maana yake ukimgusa tu mgonjwa unaye, kujikinga ni mtihani kuna release ingine ya corona kule inaitwa LAMDA naskia ni corona sasa yenye six packs sjui tunatokaje huu mwaka
Bora wataalamu wetu wangejipanga ili 'tuwasukumizie' hii kitu huko kwao. Labda watatia akili na chanjo kupatikana ,,,[emoji16]Ebola ingekua ulaya chanjo ingepatikana tu
Hivi na africa tukitengeneza chanjo ya ebola alafu tukasema wazungu wakija africa lazima wachanjwe je watakubali?Bora wataalamu wetu wangejipanga ili 'tuwasukumizie' hii kitu huko kwao. Labda watatia akili na chanjo kupatikana ,,,[emoji16]